Kim-Jong-Un
JF-Expert Member
- Jan 23, 2015
- 356
- 190
- Thread starter
- #21
Sijawahi kuwa na furaha kama hii before. Wamenibadilisha mfumo wa maisha kabisa, nafanyakazi siku 3 kwa wiki, nimepunguza kukaa bar, zile outing ndio nimesitisha kwa sasa na niko home sana kuliko before. Yaani healthy life, hakuna pombe pombe tena.
Hapo mwanzo ulikuwa "prodigo son?" nini mkuu....
ila hongera sana kwani "peace pf mind" ni jambo jema sana katika kubadilisha mtizamo wa maisha nakuleta furaha ilioje.