Mapacha 6 wanaoishi mpaka leo

Mapacha 6 wanaoishi mpaka leo

Kim-Jong-Un

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2015
Posts
356
Reaction score
190
MAPACHA 6 WALIOZALIWA MWAKA 1983 NCHINI UINGEREZA SASA NI WAKUBWA NA WAMEANZA KUWA NA FAMILIA ZAO.

Mapacha 6 wakiwa cheke chea/ vidudu.
2.jpg

4.jpg

Wakiwa sekondari

6.jpg

Wakiwa wametoka kugonga msosi wa kifamilia amahala nyeti na muhimu sana.
7.jpg

Walipokuwa wamezaliwa walipakizwa kwenye gari leny viti 6 kama idadi yao ilivyo.
9.jpg

Wakiwa wako super market kununua mazaga zaga, si unajua hawa ni watoto wa mboga saba/ msosi wa drafti. hivyo super market inahusika kwa sana tu.
1.jpg

Hivi ndivyo walivyo kwa sasa, sijui nichague yupi kati yao?
 
Hongera sana mkuu, Mungu ni mwema sana. Mama yangu mkubwa (mke mkubwa wa mzee wangu) alizaa twins mara5???

Zamani watu walikuwa hawaogopi kuwapanga.Mi ndio nimeanza, nafikiria kuongeza mmoja baada ya miaka miwili, but who knows, labda mapacha tena.
 
You real deserve to have such a couple family. Hongera mkuu.

Sijawahi kuwa na furaha kama hii before. Wamenibadilisha mfumo wa maisha kabisa, nafanyakazi siku 3 kwa wiki, nimepunguza kukaa bar, zile outing ndio nimesitisha kwa sasa na niko home sana kuliko before. Yaani healthy life, hakuna pombe pombe tena.
 
tendo gani hilo mkuu....?

Yaani Kama hapo ukishasababisha mimba ikawa mapacha 6 sasa kuna haja gani kuendelea kuzaa au kuzalisha,umemaliza kwa mpigo tena 6 wengi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom