Unapigwa leseni kwa hicho kiwango cha eneo haizidi dollar 320Nina millioni kama 25 hv, kuna mtu kanambia kuna kama hekari 25 za group lao huko geita bado wanasubiri leseni.
Nachotakiwa kutoa kama m3 hv ili leseni itoke waniweke kama mwanachama mwenzao.
Vipi wataalam kwa kiasi hicho ntaweza kweli kutoboa au hela bado ndogo?
Naona unauzoefu kidogo mkuu vipi biashara ya kuuza na kununua kwa wachimbaji wadogo?Crush na diesel engine hapo wastani wa sh 8mil mpaka10mil. uchimbaji na usakafiaji wa mashimo ya kuoshea na kupembulia itategemeana na mahali ulipo bt wastani uwe mil 2.5,kajumba ka kuhifadhia vifaa mil 1 tu but itategemeana na uwezo na size uitakayo.madiaba,karai kama laki 2.5, mbao za kuoshea mbao 1 wastani wa sh 80 elf,mercury pia, tenga pesa ya usafiri,chakula na mengineyo pia. N.b sina kazi kama vipi nipe mchongo.
Natumae mleta mada ulipata muongozo...
Geita Kijiji Nyakagwe
Mimi naishi geita na mtaalamu wa madini (Geologist), natoa consultant hapa Geita nia office kabisa. swali kwako ni kwamba unauhakika gani kama eneo hilo linamadini?. ushauri wangu acha kuwaza leseni, bali waza kwamba wapi utapata site nzuri ukiwekeza mwalo upate lundo ya tailing zitakazokutoa. for 25million inaweza kukutoa kwa namna hiyo. kupata leseni very productive ni kazi sana mimi pia ninazo ila sizichimbi kwa sababu ya changamoto ya uzalishaji. kama unatafuta sehemu ya kuweka mwalo your welcome, maana najua kila kona zifaazo kwa kazi hiyoNina millioni kama 25 hv, kuna mtu kanambia kuna kama hekari 25 za group lao huko geita bado wanasubiri leseni.
Nachotakiwa kutoa kama m3 hv ili leseni itoke waniweke kama mwanachama mwenzao.
Vipi wataalam kwa kiasi hicho ntaweza kweli kutoboa au hela bado ndogo?
mbona nyakagwe shuguli hizi zimekoamaa sana kwa nini usiulize huko? au umeamua kuanzisha mada kwa ajili ya wengine waelewe na si kwa ajili yako?Geita Kijiji Nyakagwe
Shukran mkuu, nikiwa tayari ntakuchekiMil 25 ni pesa nyingi kwa mzoefu wa kazi hizo lakini pia inaweza kukutosha na ukafanikisha kama umejipanga vizuri.Jambo la kwanza kukushauri huo mwalo wako uweke karibu na chanzo cha ukakika cha maji ili usipate changamoto pili upate duara yako au kama sio yako uwe mdhamini wa hiyo duara na kigezo na makubaliano moja wapo liwe ni kusagia mzigo wote wa duara hiyo usagiwe mwaloni kwako. Kabla ya kufanya makubaliano hayo lazima uwe umejiridhisha na kupima sample ya ppm ukijiridhisha unaanza process, jingine la muhimu huo mwalo wako usiwape watu share ni bora uwalipe kwa mwezi share iwe ni yako peke yako.Pia kwa geita inataka mtaji mkubwa zaidi ningekushauri ufanye utafiti singida especially mgodi wa sekenke unaweza ukazalisha mara 4 ya pesa hiyo kwa mwaka kama upo serios na umepata mwenyeji mzuri.Pia unaweza kunipm ukikwama popote naweza nikasaidia hata kwa ushauri maana sifatilii sana uzi
Sawa mkuuMimi naishi geita na mtaalamu wa madini (Geologist), natoa consultant hapa Geita nia office kabisa. swali kwako ni kwamba unauhakika gani kama eneo hilo linamadini?. ushauri wangu acha kuwaza leseni, bali waza kwamba wapi utapata site nzuri ukiwekeza mwalo upate lundo ya tailing zitakazokutoa. for 25million inaweza kukutoa kwa namna hiyo. kupata leseni very productive ni kazi sana mimi pia ninazo ila sizichimbi kwa sababu ya changamoto ya uzalishaji. kama unatafuta sehemu ya kuweka mwalo your welcome, maana najua kila kona zifaazo kwa kazi hiyo
Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta
Wana JF uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.www.jamiiforums.com
Refinery ni kwa ajiri ya kuongeza gold purity. Unahitaji uwe za gold nyingi ili upeleke huko. Lakini gold yako Kama ni 10kg yenye 80%, maana yake ukiipeleka refinery itakuwa 99.99 lakini uzito utapungua na Kuwa 8kg.Umuhimu wa gold refinery jamani ni upi and je kuna haja mimi kama Muuzaji mdogo kupeleka dhahabu yangu refinery baada ya kutoka elusion ?