Wana nini cha kuonyesha hao? Badala ya kufanya kazi wao wanashadadia kuuza sura. Makhabithi laamil kabisa hao.
Mkuu
Ili kufanikisha hayo maonyesho kila idara iliyo chini ya wizara inatakiwa kuchangia sh Mil 60, Na wafanyakazi wachangie Sh laki 3 kila mmoja, bila kusahau kila mwanaJF achangie elf 20 . . . .

kudos NN hapo sasa porojo za umeme balaa usiulize majibu milioni..Wana nini cha kuonyesha hao? Badala ya kufanya kazi wao wanashadadia kuuza sura. Makhabithi laamil kabisa hao.
hili ni bahasha la jairo au la cpu?Mkuu