Maonyesho ya Wizara ya Nishati na Madini . . . .

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
687
Jamani wanaJF, hasa wakazi wa Dar es Salaam
Mnazi Mmoja wameanza maonyesho ya WIZARA YA NISHATI NA MADINI katika kufanikisha maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru waTANGANYIKA!

Haya, nimewawekea na picha mojawapo kutoka Mnazi Mmoja leo

gggggg.jpg

Karibuni Sana!!
 
Juzi mlikuwa kwenye maonyesho ya wiki la utumishi wa umma, Jana mlikuwa kwenye maonyesho ya 77, leo miaka 50 ya uhuru. Hangaikeni na kutatua suala la upatikanaji wa umeme wa uhakika.
 
Wana nini cha kuonyesha hao? Badala ya kufanya kazi wao wanashadadia kuuza sura. Makhabithi laamil kabisa hao.
 
Mkuu
Ili kufanikisha hayo maonyesho kila idara iliyo chini ya wizara inatakiwa kuchangia sh Mil 60, Na wafanyakazi wachangie Sh laki 3 kila mmoja, bila kusahau kila mwanaJF achangie elf 20 . . . .
 
Juzi mlikuwa kwenye maonyesho ya wiki la utumishi wa umma, Jana mlikuwa kwenye maonyesho ya 77, leo miaka 50 ya uhuru. Hangaikeni na kutatua suala la upatikanaji wa umeme wa uhakika.

Mkuu
Maonesho ni kila mtaa siku hizi
 
Mkuu
Ili kufanikisha hayo maonyesho kila idara iliyo chini ya wizara inatakiwa kuchangia sh Mil 60, Na wafanyakazi wachangie Sh laki 3 kila mmoja, bila kusahau kila mwanaJF achangie elf 20 . . . .

Hakika imeswema; "USITUTIE MAJARIBUNI WAKATI HUWEZI KUTUOKOA MAOVUNI"...Ref: Sala Aliyotufundisha Bwana Wetu Yesu Kristo
(samahani kwa wasiokuwa wakristo. Naamini bado inatusaidia sote tupendao kusoma kujua MEMA ya kila IMANI na DHEHEBU katika kufanya maisha ya mwanadamu kuwa YA MAFANIKIO KIUCHUMI, KIROHO na KIJAMII ZAIDI.
 
Mkuu
Ili kufanikisha hayo maonyesho kila idara iliyo chini ya wizara inatakiwa kuchangia sh Mil 60, Na wafanyakazi wachangie Sh laki 3 kila mmoja, bila kusahau kila mwanaJF achangie elf 20 . . . .

Duuu hiyo 20000 ni bora nichangie,server ya jf...hivi kwenye hayo maonyesho ile barua ya Jairo pia inaonyeshwa laivu? Kama ipo nitakuja kuiona...
 
Hiyo server bila umeme si lolote . . .
 
Ninajua sana kuna changamoto kali ya jazba, hasira, kiherehere, ki​muhemuhe, usongo, kibri, kuto​kuelewa n.k.
Wanasema vyote wamejiandaa kupambana navyo!!

Kazi ni kwenu . . . . . .
 
hawana cha kuonyesha hao,watumie huo muda kutafuta ufumbuzi wa kupatikana umeme na sio kupoteza muda na rasilimali kwa mambo yasiyo na tija
 
Haya, angalieni photo hapo juu kutoka One Coconut Tree leo . . . .
 
Mkuu
Ili kufanikisha hayo maonyesho kila idara iliyo chini ya wizara inatakiwa kuchangia sh Mil 60, Na wafanyakazi wachangie Sh laki 3 kila mmoja, bila kusahau kila mwanaJF achangie elf 20 . . . .
hili ni bahasha la jairo au la cpu?
 
Back
Top Bottom