Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Habari Wakuu,
Leo ni Sikukuu ya 77, Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kila mwaka katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, maarufu kwa jina la Sabasaba, yamekosa ufanisi mwaka huu tofauti na ilivyozoeleka miaka ya nyuma.
Kuna kasi ndogo sana ya wafanyabiashara na watu mbalimbali kuingia kwenye eneo hili kama picha zinavyoonyesha, hadi muda wa Saa 9:13 nilipopiga picha hizi hakujachangamka kwa maana watu bado hawajaingia.
Nawaombeni tujadiliane kwa pamoja sababu zilizoyafanya maonyesho haya kudorora namna hii tukilinganisha na miaka ya iliyopita.

Picha hizi zinaonyesha hali ilivyo katika maonyesho haya hapa katika viwanja vya 77 vilivyoko katika barabara ya Kilwa, katikati ya Kurasini na Mtoni kwa Aziz Ali