Maonyesho ya Sabasaba 2017, yawaumbua Mafisadi

Maonyesho ya Sabasaba 2017, yawaumbua Mafisadi

Wahame chadema

kumbe shida ni Chadema sio Ufisadi maana kama ni ufisadi list ndogo hii hapa
1. BWM-Migodi wa kiwila- CCM
2. JPM-Kivuko kibovu, uuzaji wa nyumba za umma-CCM
3. Nyoka wa makengeza- uyu anahusika kila ufisadi-CCM
4.Ngeleja-Escrow-CCM
5.JK- Migodi -CCM
6. Lowasa-Dowans-Ex-CCM
7. list kubwa sana
CCM zaidi ya wakoloni hawatu wanatakiwa washitakiwe kwa kutufanya kuwa maskini kwa tamaa zao
 
20170706_114505.jpg
Kabla ya kufunguliwa kwa maonyesho ya 41 ya sabasaba kwenye viwanja vya Mwl Nyerere, mafisadi na mawakala walikuwa wameshaeneza taarifa kuwa hayo maonyesho yatadoda ,sasa watu leo wamefurika
Mkuu yamedoda!
 
Dooooh wakuja utamjua tu...
Kwani kujaa watu ndio kufana...
Ndani mule hakuna vya maana vya kununua..wengi wanaishia kuzunguka tu...lisaa limoja ushamaliza cz nothing nothing...
Sabasaba ilikua miaka ya 2014 kurud nyuma...watu mna jaa na kila mtu lazma atatoka na kitu...
Watu walikua wanaenda sabasba wanajua kuna bidhaa za maana miaka hiyo na bei nafuu..unaweza zunguka kuanzia asubuhi na usimalize ma banda yote..
Sasa hivi mabanda yako wapi
Ss hivi bora uende kkoo tu...
 
Kabla ya kufunguliwa kwa maonyesho ya 41 ya sabasaba kwenye viwanja vya Mwl Nyerere, mafisadi na mawakala walikuwa wameshaeneza taarifa kuwa hayo maonyesho yatadoda ,sasa watu leo wamefurika
Kiukweli maonyesho.yamedoda sana
Sijui nini kifanyike

Pia uwanja wa..maonyesho umechoka...sana kuanzia majengo na .,miundombinu ...
Kumbukeni uwanja huu uliokuwa..kati ya viwanja bora vya maonyesho afrika hadi miaka ya 90's ulipozinduliwa ukumbi wa...PTA una zaidi ya miaka 40 toka ujengwe haujakarabatiwa

Tuacheni kujiliwaza
Kuna wakati maonyesho yalikuwa...yamashirikisha hadi nchi...20' hadi 40
 
Sijawaona wale wakenya na warwanda kama ilivokuwa miaka ya nyuma. Sijui tumewafanya nini ndugu zetu hawa?
 
Maonesho Ya saba saba sahvi imedhihirisha Ya kuwa mifuko Ya watz imetoboka!

Ova
 
Sijawai kukosa saba saba nilienda jumatano ki ukweli mwaka huu yameshuka sana sana hakunajipya la kusisimua kiingilio bado tatizo pia
kiinhilio ni 3000 kama mwaka jana ...inawezekana mwaka jana uliingia kama kabinti na mwaka huu umeingia kama mtu mzima.
 
Mpaka muda huu watu bado wanatoka uwanjani. Ni wengi sana
Narudia... hujui situation ilivyokuwa miaka ya nyuma!

Kuna mambo mawili... ama mwaka huu ni mara yako ya kwanza kufika 77 au hata huu mwaka pia hujaenda ila unaleta siasa a mipasho!!!!

Miaka michache iliyopita nilikuwa naishi just after Twalipo Camp off Kilwa Road. Ule mtaa (off-Kilwa Rd) ilikuwa ukifika siku ya kilele unakuta umefurika watu na magari. Madogo walikuwa wanachukua sana tenda za kulinda magari na vyombo vingine vya moto kwenye ule mtaa.

Safari hii binafsi sikwenda Sabasaba lakini nilipita pale kumsalimia bro wakati naelekea town! Kwanza ingawaje ni kwa shida kidogo lakini nilivuka wakati zamani kwa mida niliyopita mimi ningekuta barabara imejifunga kuanzia Ufundi... and YES, ilikuwa ukifika Ufundi kuanzia saa 9 basi hesabu utatembea hadi 77.
 
Back
Top Bottom