,,,,,,,hao wengi ni wageni ,,hawana account,,jf,,Duh!
VIEWS 418 replies 8.
Teh teh
Daaa ama kweli elimu ndio kila kitu,unaandika uharo humu,tupo sabasaba toka imeanza Leo ndio angalau watu wamekuja,kila siku kumedoda,na sio watu tu,hata ushiriki wa wanabiashara umepungua sana makampuni mengi hayajashiriki na hata TANTRADE wanakiri sehemu nyingi hazijalipiwa alafu wewe unakuja kuongea ungese hapa pumba,Bashite wewe.Kabla ya kufunguliwa kwa maonyesho ya 41 ya sabasaba kwenye viwanja vya Mwl Nyerere, mafisadi na mawakala walikuwa wameshaeneza taarifa kuwa hayo maonyesho yatadoda ,sasa watu leo wamefurika
Huyo mpuuzi, siku ya leo(Jana) tu ndiyo inabeba maonesho?Daaa ama kweli elimu ndio kila kitu,unaandika uharo humu,tupo sabasaba toka imeanza Leo ndio angalau watu wamekuja,kila siku kumedoda,na sio watu tu,hata ushiriki wa wanabiashara umepungua sana makampuni mengi hayajashiriki na hata TANTRADE wanakiri sehemu nyingi hazijalipiwa alafu wewe unakuja kuongea ungese hapa pumba,Bashite wewe.
Sijajua ulitaka kumaanisha nini. Naona kiingilio bado tatizo kwa yule Mtzd wa kwaida kabisakiinhilio ni 3000 kama mwaka jana ...inawezekana mwaka jana uliingia kama kabinti na mwaka huu umeingia kama mtu mzima.