Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.
Sisi tutaichagua Ukawa ikimpitisha Lowasa,lowasa anakura milioni 10

Mi nadhani wewe ndio umepoteza maana ya kuelewa upinzani ni nini. Kumbuka ukawa sio branch ya ccm halafu wamempokea mtu mmoja aliyetoka chama kimoja kwenda chama kingine! Hii logic ya kusema imepoteza maana haina mashiko Lowassa ni kama mgeni tu kabisha hodi kafunguliwa karibu ukae!
Ifike point tukubali mambo yanavyoenda badala yake tuangalie outcome! kutoa chama tawala sio mchezo na style nyingi zipo applicable! Ukawa best of lucky dhamira yeni itimie .
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.
Aina shida. Sisi tutamchagua. Nyinyi bakeni na watu wenu. UKAWA tutampa kura atusaidie kumng'oa huyu mkoloni mweusi CCM. Mengine yote yatafuata baadaye
Lowassa akishindwa kwenye uchaguzi mkuu lawama zitaangukia kwa nani? Atabaki kuwa mwanachama wa chadema milele?
Kumsafisha itataka uwe na moyo wa chuma.
Zile team zilizokuwa zinamshabikia lowassa kwenye mitandao sizioni siku hizi.
Hivi wee wa wapi?!Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.