Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
usisahau kuwa mahakama ni blood stream ya ccm
Hauwezi kukata tamaa wakati haujajaribu.Siyo wakati wote mahakama inaegemea kwa CCM,angalia kesi za Mtikila zimeifanya Serikali iamue mambo mengine kwa sababu ya kesi hizi.Unajua ni mwiko kusema "I wish" bali tunatakiwa kusema "I will" mara zote.Hata ukianguka basi Serikali yetu sikivu ujumbe utakuwa umeifikia.lakini tukiendelea kunyamaza na kufikiri kwa kunyamaza kwetu ndiyo tutashinda basi imekula kwetu.
Vyama vya siasa vyote havitakiwi kutegeana,vishirikiane na kwenda hatua moja mbele.