Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
CCM haitaachia madaraka kwa sanduku la kura. Hii haitatokea. Wapinzani wakiunganisha nguvu, bado hazitatosha maana vyama vingine ukiacha CHADEMA ni kama havipo.
Uchaguzi ujao CCM itashinda kwa kuwa wana mbinu za kufanya hivyo. Si kwa ilani wala kwa sera bali kwa ghiliba.
Kwa kuwa Dola ni damu ya chama tawala, tusitegemee chama tawala kukubali kuvuja damu.
Hali ikiendelea hivi ni kwamba upinzani utapungua nguvu na wananchi watakosa imani na siasa za nchi hii kwa ujumla. CHADEMA iepukane na kundi la vijana ambao hawajitambui maana wengi si wapiga kura.
Kwa CCM kutoka madarakani ni nguvu toka nje ya Tanzania itatumika. Hadi sasa haiwezekani kufanyika hivyo kwa kuwa ccm wanakula vizuri na mabeberu rasilimali zetu.
CCM itatoka madarakani kwa mapinduzi. Na mambo yasipoenda vyema tutageuka sierra leone nyingine. Hakutatokea chama cha upinzani kitakachokuja kuwa na nguvu kama CHADEMA.
Mwisho, kama hayo hapo juu hayatatokea, na kama tunahitaji mbadala wa CCM, basi tuanze kuiamini kauli ya Nyerere. Tusubiri CCM imeguke. Hili halishindikani. Yangu macho