Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,070
- 285,692
swali , je mbowe ni kiona mbali au la ? kwanini ?Mbowe amefanya nini Chadema zaidi ya kujimilikisha Chama kwa kukiondoa kipengele cha ukomo wa uongozi?
mei 8 , 2005 Freeman Mbowe , Mwenyekiti wa CHADEMA anaeleza kuwa Jakaya Mrisho Kikwete siku tatu zilizopita aliteuliwa na mkutano mkuu wa ccm kuwa mgombea urais wa chama hicho , hana ubavu wa kuibadili ccm na mfumo wake wa kiutawala ambao anasema umezorotesha maendeleo ya nchi , Mbowe aliongeza kuwa watu walioshabikia uteuzi huu wa kikwete watajuta atakapochaguliwa kuwa rais . swali kwa wadau , je Mbowe ni kiona mbali au la ? kwanini ?
iko wazi sana hii mkuu .Mbowe kaipaisha CDM juu tangu pale alipotoa kauli hii wakati mwenzake kaizamisha CCM!
Mungu akulinde sana .Wakati anatamka hayo maneno Mbowe alikuwa anajenga CHADEMA ... Miaka kumi baadae Maisha ya Watanzania yemeendelea kuzorota Zaidi ... magumu Zaidi, fedha haina thamani ... Mbowe ni bonge la kiona mbali
Swali kwa wadau; Je, Mbowe ni kiona mbali au
swali , je mbowe ni kiona mbali au la ? kwanini ?
Mbowe amefanya nini Chadema zaidi ya kujimilikisha Chama kwa kukiondoa kipengele cha ukomo wa uongozi?
Kama hajafanya lolote inakuwaje tena Maintarahamwe mnaendelea na kampeni zenu chafu za kuichafua CHADEMA na kutumia mabilioni ya pesa kupitia wasaliti ili muisambaratishe? Mnaogopa nini!?
Ukishakuwa Kiongozi wa juu Chadema unakuwa na elements za kinabii. Nabii Mbowe!
CCM yote imeoza, sasa takataka moja itasafisha takataka nyingine????
Kiona upande
Mbowe amefanya nini Chadema zaidi ya kujimilikisha Chama kwa kukiondoa kipengele cha ukomo wa uongozi?
unaambiwa chenge yuko mbioni kufungua mashitaka ili asipelekwe mahakamani hadi kifo chake !
Ndo hivyo, atakuja kijana hana hata ajira, elimu ya kayumba na Mbwembwe eti CCM kiboko yetu, badala ya kusema kiboko yake yeye ambaye mbele ni kama nyuma na nyuma ni kama mbele NASHANGAAA SANA
mkuu umeandika kwa uchungu sana !Usicheke ukunga kizazi kingariko.mungu akupe mtoto jicho moja hakuna na kama huwaini zaa utaona huo msemo.
swissme