Maono ya CHADEMA kufia mikononi mwa Mhe. A. Mbowe

Zee la kitaa

JF-Expert Member
Oct 25, 2017
403
211
Katika hali ya kustahajabu; CHADEMA kimetoka katika msingi wake wa kuwa chama tumainiwa cha wananchi na kubaki chama cha maslahi ya watu fulani kutokana na misingi wa uendeshaji ulivyo kwa sasa.

Kumekuwa na matamko mbalimbali ya wanachadema inayotia shaka kuwa chama tumaini kutokana na maono ya kuanzishwa kwake.

Kwa hali ilivyo sasa inaonekana hakuna kuaminiana ndani ya CHADEMA na tumaini lililobaki ni Mhe. A. T. Lissu. Mhe. Mbowe uliulizwa swali kama Mhe. Lowassa alikupa taarifa ya kwenda Ikulu; ukajibu kisiasa.

Mhe. Lissu alihoji baada ya taarifa yako ya hivi majuzi kuhusu Lowassa kwenda Ikulu na maoni aliyoyatoa ni yake si msimamo wa chama; wengi walitaka kujua kama Mhe. Lowassa alikupa taarifa ya kwenda ikulu?

Jana ulipewa mrejesho wa safari ya Mhe. Lowassa kwenda ikulu; je matamko ya BAVICHA kulaani kitendo hicho yamekufa? Ukiona post za wanachadema mfano aliyoitoa Meya wa Ubungo utagundua hata Mhe. Mbowe haaminiki tena.

CHADEMA badala ya kujenga taasisi wanajenga na kumtukuza mtu. Ukijenga taasisi inasaidia kuimarisha watu kuliko kujenga watu.

Mhe. Mbowe jitahidi kurudi katika misingi ya kujenga taasisi mmepotea sana. Chadema hii hata viongozi wa umoja wa vijana wanakosa weredi wa kujenga hoja zenye mashiko. CHADEMA jengeni taasisi kuliko hali ilivyo sasa.
 

Attachments

  • IMG-20180111-WA0049.jpg
    IMG-20180111-WA0049.jpg
    48 KB · Views: 20
Ha ha mabashite wa ccm kichwa kinawauma kuhusu Mbowe nyie chekeleeni chama Kim five sasa mbona mchecheto ndio maana thread za akina hii ukipata post hata 200 unabahati
 
Ha ha mabashite wa ccm kichwa kinawauma kuhusu Mbowe nyie chekeleeni chama Kim five sasa mbona mchecheto ndio maana thread za akina hii ukipata post hata 200 unabahati
Ishu sio post kiongozi; ila tathmini yako uliyoifanya haiko relevant. Bashite ndio nini?
 
Na ccm kufia kwa ngosha


Mshauri wenu mwelekezi Josephat Gwajima alikuwa anashinikiza Jk amuachie Uenyekiti Magu nanyi mkaunga tela kushabikia hamkujua Kama Gwajima ni wale wale Sasa Kiama kimewafika bora hata Jk alipokuwa Chairman
 
Mshauri wenu mwelekezi Josephat Gwajima alikuwa anashinikiza Jk amuachie Uenyekiti Magu nanyi mkaunga tela kushabikia hamkujua Kama Gwajima ni wale wale Sasa Kiama kimewafika bora hata Jk alipokuwa Chairman
Kiama kimemfika nani. Naona mnaoongoza kulalamika ni wale mliozoea vya bwerere. Sisi tunapiga kazi maisha yanaenda kaka.
 
Mwenendo upi umeuona mkuu? CHADEMA itaendelea kuwepo tu ccm ndo itakufa
Wakutoaminiana. Swali hujajibu. Lile tamko la bavicha kuhusu lowasa limekufa baada ya mbowe kupowe mrejesho wa safari ya ikulu?
 
Back
Top Bottom