mmh,hicho kidume ndo kitulie tu mtoto wake anagaiwa mtu mwengine?labda awe hana uchungu au shida ya huyo mtoto...Kama huyo NILAN hafanani na DIAMOND huyo mtoto wa HAMISA ndy wanafanana?DIAMOND ni mzinzi tu...hana EXCUSE ....yeye kuambiwa nina mimba yko basi LAKI TANO kwa week zinamtoka.....wakati uhakika wa ukweli wa mimba hana...kumbe kuna KIDUME pembeni kinacheka kwa DHARAAAU...
umeona mkuu,mi nazani kipo tu kilichojificha nyuma ya pazia katika huu uhusiano...time will tell mkuuNakubaliana na wewe kwenye 1 & 2 Huo ndio ukweli na Zari anajua ndio maana naye katulia kimya anajua akimjibu mtembea kwa magoti naye ataliamsha dude la nillan kufanana na The Don.
point mkuu,mara nyingi hizi zinazoitwa distant relationships huwa na changamoto sana katika kuzimanage hasa katika fidelity management!Moja ya sababu inayofanya watu wacheat ni mazoea ya kuonana " People hanging out on the same social circles"
Rahisi kwa Hamisa kutoka na chibu sababu kwenye party wanakutana sana hali kadhalika wema, penny,Jokate,Wolper,Uwoya, hawa wote wametembea na chibu sababu ya mazingira wanayokutana.
Sasa jiulize Zari SA ana hangout na kina nani?
Farouk, Manaijeria,Kina King lawrence so 98% lazima alikuwa anacheat.
Hapo wamekutana wote wachepukaji.