Viongozi Wa Umoja Wao Ndo Wataweza Kuwarekebisha Lakini Si Hatuwezi Mana Yataishia Hapa Tu,so Kama Viongozi Wao Hawako Makini Itakuwa Janga Juu Ya Janga, Ingawaje Maoni Yaweza Anzia Kwenye 'grassroots',Lakini Mi Naona Wapo Nje Ya Track Lakini Ukihoji Utaambiwa,Wanaigiza Kinachotokea Kwenye Jamii Ya Kileo Ya Kizazi Cha Sasa. Nshachoka Na Tz Mana Kuanzia Politics Hadi Sanaa Ni 'usanii' Tu.Wawe wabunifu na waigize kwa kuijenga jamii vinginevyo watapotea kama makapi.