Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,249
- 7,128
Kwa Maoni yangu,Sababu zitazoifanya Simba imfunge Stellenbosch jumapili huko Zanzibar ni hizi hapa.
Kwa miaka mingi Simba imekua ikiishia robo fainali kimataifa sio Kwa sababu ya kua uwezo wao uliishia pale,hapana,Bali Simba walionekana kuridhika na hatua ya robo fainali na kutokua na malengo,nia,utashi,mikakati na dhamira ya kwenda hatua za juu kama nusu fainali na hatimae fainali.
Tofauti na safari hii,Simba imeonesha Nia,dhamira,haja,mikakati na malengo ya kwenda hatua za juu yaani nusu na Hadi fainali.
Vichocheo vya Simba kuamka vimetokana na Utani na dhihaka kuitwa Mwakarobo pamoja na Yanga kufanikiwa kucheza fainali za michuano ya shirikisho kwa bahati baada ya kua inakutana na timu dhaifu tofauti na Simba.
Simba ni mabingwa wa kushinda nyumbani na uwezo huo wanaona Kwa miaka yote.
Simba ilikua inajiwekea malengo,Nia,mbinu na dhamira ya kushinda nyumbani na mara nyingi ilikua inashinda.
Ila baada yakushinda, Simba ilibweteka na kuridhika kwa ushindi wa nyumbani na wala haikutamani kusonga mbele.
Safari hii imedhamiria na imepata hamu ya kusonga mbele,hivyo imekuja na lengo la kuifunga Stellenbosch nyumbani.
Kwa Tabia za Simba ni lazima itafanikiwa kutekeleza lengo lake.
Lengo lake lilikua ni kutinga nusu fainali na imetinga,Sasa lengo jingine ni kuifunga Stellenbosch,naamini itaifunga.
Iko hivi jamani mara nyingi Simba ikitaka jambo lake hua haishindwi.
Simba hua inaweza kuzifunga timu za kigeni hapa kwetu, bila kujali ukubwa wala umbo la timu. Imewahi kuzifinga hapa katibu timu kubwa zote za Afrika ambazo iliwahi kucheza nazo.
Ni timu kubwa chache sana ambazo zimewahi kuifunga Simba nyumbani,na hii pengine ilitokana na kuzembea kidogo kwa Viongozi wa Simba kipindi ilipokutana na timu hizo.
Simba imewahi kuzifinga hapa kwetu timu kubwa kutoka Afrika kasakazini, mfano Wababe wa Afrika Al Ahly, ijapokua na wao walishinda kwao, lakini pia hata timu za Afrika nazo zilifungwa hapa kwetu,licha ya kua nazo zilishinda kwao
Mfano Simba ilifungwa 4 bila Johannesburg na Kaiser chiefs lakini ikaja kushinda 3 bila Dar es salaam.
Tufanye kwamba Stellenbosch ni timu nzuri na ngumu lkn tukumbuke Simba ilishawahi kuzifinga timu nzuri na ngumu kuishinda hii Stellenbosch ilivyo hivi Sasa.
Sababu nyingine ya Simba kuifunga timu hii ni Simba kuogopa kurudia makosa ya nyuma,mfano Simba iliwahi kuifunga timu ya Botswana kwao lkn ikaja kutolewa kizembe Dar.
Kwa kumalizia Simba watashinda hapa nyumbani,
Simba sio wageni uwanja wa Amani.
Simba walishachukulia Mataji Amani na hata walishaifunga Yanga Amani Zanzibar.
Kama sijakosea Simba ilishawahi kucheza na National Al Ahly huko Kirumba Mwanza mwaka 1985 na Simba akashinda.
Matokeo yalikua Simba 2-1 Al Ahly
Kwa hiyo Simba anawesza kushinda Amani Stadium kwa sababu ni sehemu ya Tanzania.