Maoni yangu: Shutuma dhidi ya Zitto na Mkumbo

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,143
3,196
Ndugu zangu,

Nikiwa kama mwanachama mwaminifu na mtiifu wa CHADEMA, najitokeza tena kwa mara nyingine kuelezea maskitiko yangu juu ya minyukano hii inayoendelea ndani ya CHADEMA.

Niweke wazi kwamba ninasikitishwa sana na mwenendo wa kisiasa uliopo ndani ya CHADEMA hivi sasa, na ukimya wa viongozi wa juu wa chama katika kuyashughulikia haya. Kama ningekuwa na sababu ya kumlaumu yeyote iwapo chama changu CHADEMA kitakufa, hivi leo, basi nitawalaumu Mbowe na Slaa. Kusema ukweli sijui ni nini kinaendelea kwa hawa wakubwa. Zinapojitokeza tofauti kubwa za kichama kama hizi ni kwanini visiitishwe vikao vya dharura ili kuweka mambo sawa kabla kurupushani hizi hazijasababisha madhara zaidi? Kulikoni hata viongozi wengine wa chama wameshindwa hata kuwaandikia viongozi wenzao barua kali za onyo na kuzikopi kila ngazi inayokubalika, kulalamikia yale wasiyoridhishwa nayo, badala yake wanaelezea dukuduku zao kwenye vyombo vya habari na hasa mitandao.

Mimi si shahidi wa kumtetea Zitto au Mkumbo mahali popote, lakini sioni kabisa faida ya kufanya haya. Kama kuna intelligensia ya CHADEMA (kama ipo) inayoweza kugundua mienendo yote ya wanachama wake kwanini wasiyapeleke hayo kwenye vikao na kuwaita hawa wenzetu na kuwaonya? Je kwa kuyaweka haya mitandaoni tunakisaidiaje chama chetu?

Ninaamini na ninapenda wengi waelewe hivyo, kwamba mtu awaye yote anayetoa siri za chama au za mtu mhimu ndani ya chama na kuziweka kwenye mitandao, kwa hakika huyo si mwanachadema. Hata kama taarifa hizi hutolewa na Mbowe au Slaa, basi hao ni lazima wawe ndiyo wasaliti namba moja wa chama kushinda hata wale wanaowaita wasaliti. Siamini kwamba mtu mwenye mapenzi ya kweli ya CHADEMA anaweza kuthubutu kuandika chochote kinachohusu chama kwenye mitandao, na akajinasibu kwamba anafanya hivyo kwa nia ya kukisaidia chama. Hili nalisema wazi pia kwa Lema, achilia mbali Mwigamba. Tufike mahali tujifunze kufanya siasa za kistaarabu. Kwa kuanza kuwaandika watu na kuwachafua kwenye vyombo vya habari hata kama wameshiriki kwa namna moja au nyingine katika huo tunaoamini ni usaliti ni kujaribu kutengeneza maadui wa chama. Jambo ambalo hatutafaidika nalo.

Niweke tu wazi kwamba nina imani haya hayafanywi na wanachadema bali ni wanaCCM wanafanya haya kwa nia yao ovu ya kuvuruga utengamano ulio ndani ya chama. Lakini imani yangu hii inafifishwa na ukimya wa uongozi wa juu wa chama. Tafadhari viongozi wetu wa chama, zishughulikieni tofauti hizi kabla hazijaleta madhara makubwa chamani.
 
Mkuu Lukolo mawazo yako yanawakilisha walio wengi! Lkn mimi ninafikiri kukaa kimya kusikufanye ukate tamaa. kuna mengi yatakuja na labda subira huvuta kheri. Kumbuja hawa viongozi si kwamba wameanza leo kwa hiyo ujue kuna kitu. wewe subiri ndugu yangu mkuu!
 
Mkuu Lukolo na wewe ni walewale tu. Hivi juzi ulikuja na uzi wa kumlaumu Lema kwa kuendekeza malumbano mitandaoni badala ya kutumia vikao vya chama. Hivi leo unaelekeza lawama kwa viongozi wa Chadema lakini hukemei waziwazi hatua ya Zitto na Mkumbo Kitilla kuendeleza malumbano kupitia vyombo vya habari na mitandaoni. Kama kweli unakemea tabia, kemea kitendo cha Zitto na Mkumbo Kitilla kuendeleza hii nonnsense. Be fair.
 
Migogoro kwenye vyama vya kidemokrasia ni kitu cha kawaida sana, tatizo ni pale migogoro inapokuwa zaidi ya uwezo wa chama kukabiliana nayo.

Hakuna kiongozi wa kumfunga kiongozi mwingine kengele. Viongozi wakuu nadhani ndiyo mama wa "vifaranga vilivyoko juu ya mafiga".

Kamati kuu imegawanyika kama ilivyo gawanyika sekretarieti ya kamati kuu.

Mpira kwa sasa uko kwenye viwanja vya Baraza kuu na Mkutano mkuu. Huku ajenda za mkutano zikitayalishwa na kundi moja kati ya makundi kinzani lakini kikubwa, inahitaji hekima na busara kujipeleka mwenyewe mahakamani.
 
Ndugu yangu, katika kukosoa kwangu somulengi mtu fulani, bali nawalenga wote wakiwemo Mkumbo na Zito. Katika kukosoa kwangu sijamlenga mtu binafsi, bali nimewalenga wanachadema kwa umoja wao. Nimewataja Lema na Mwigamba kama mifano ya watu wanaotumia vibaya mitandao, lakini haimaanishi kwamba wanachokifanya Zitto na Mkumbo ni cha kiungwana. Lakini pia ikumbukwe kwamba Zitto na Mkumbo walikuwa wanajibu baada ya kuchafuliwa mitandaoni. Japo naamini wangeweza kutoa taarifa kwenye mamlaka husika ili iweze kutoa tamko la kichama.
 
Natafuta jibu la usingizi huko makao makuu, kuna watu wamepata shida na wengine kuhujumiwa kazini kwa ajili ya mapenzi kwa CHADEMA, leo iweje watuletee mitafaruku then ukimya utawale?
 
Mbowe na Slaa hawawezi kusema lolote kwasababu wao ndio waliowatuma wafanye hivyo So kukaa na kusubiri majibu kutoka kwa Miungu watu hawa wa Chadema ni sawa na kusubiri Meli Ubungo.
 
ni organaizesheni gani haipendi free ride ya publicity! let our cdm enjoy it! tena kwa gharama za ccm!!?? using puppets wa Lumumba! acha utani bana... at the end of the day chama kitatoa simple and short statement ya kuwataka wote wanaoona wamechafuliwa waende mahakamani na mjadara unafungwa. but mwisho wa siku the end justify the means... nani amegain katika hizi sarakasi zote!? cdm nnaimani kitaibuka na mo advantage kwani kitakuwa kinedhihirisha kwamba hata katika tufani na gharika bado chama hakisambaratiki.
 
Ndugu zangu,

Nikiwa kama mwanachama mwaminifu na mtiifu wa CHADEMA, najitokeza tena kwa mara nyingine kuelezea maskitiko yangu juu ya minyukano hii inayoendelea ndani ya CHADEMA.

Niweke wazi kwamba ninasikitishwa sana na mwenendo wa kisiasa uliopo ndani ya CHADEMA hivi sasa, na ukimya wa viongozi wa juu wa chama katika kuyashughulikia haya. Kama ningekuwa na sababu ya kumlaumu yeyote iwapo chama changu CHADEMA kitakufa, hivi leo, basi nitawalaumu Mbowe na Slaa. Kusema ukweli sijui ni nini kinaendelea kwa hawa wakubwa. Zinapojitokeza tofauti kubwa za kichama kama hizi ni kwanini visiitishwe vikao vya dharura ili kuweka mambo sawa kabla kurupushani hizi hazijasababisha madhara zaidi? Kulikoni hata viongozi wengine wa chama wameshindwa hata kuwaandikia viongozi wenzao barua kali za onyo na kuzikopi kila ngazi inayokubalika, kulalamikia yale wasiyoridhishwa nayo, badala yake wanaelezea dukuduku zao kwenye vyombo vya habari na hasa mitandao.

Mimi si shahidi wa kumtetea Zitto au Mkumbo mahali popote, lakini sioni kabisa faida ya kufanya haya. Kama kuna intelligensia ya CHADEMA (kama ipo) inayoweza kugundua mienendo yote ya wanachama wake kwanini wasiyapeleke hayo kwenye vikao na kuwaita hawa wenzetu na kuwaonya? Je kwa kuyaweka haya mitandaoni tunakisaidiaje chama chetu?

Ninaamini na ninapenda wengi waelewe hivyo, kwamba mtu awaye yote anayetoa siri za chama au za mtu mhimu ndani ya chama na kuziweka kwenye mitandao, kwa hakika huyo si mwanachadema. Hata kama taarifa hizi hutolewa na Mbowe au Slaa, basi hao ni lazima wawe ndiyo wasaliti namba moja wa chama kushinda hata wale wanaowaita wasaliti. Siamini kwamba mtu mwenye mapenzi ya kweli ya CHADEMA anaweza kuthubutu kuandika chochote kinachohusu chama kwenye mitandao, na akajinasibu kwamba anafanya hivyo kwa nia ya kukisaidia chama. Hili nalisema wazi pia kwa Lema, achilia mbali Mwigamba. Tufike mahali tujifunze kufanya siasa za kistaarabu. Kwa kuanza kuwaandika watu na kuwachafua kwenye vyombo vya habari hata kama wameshiriki kwa namna moja au nyingine katika huo tunaoamini ni usaliti ni kujaribu kutengeneza maadui wa chama. Jambo ambalo hatutafaidika nalo.

Niweke tu wazi kwamba nina imani haya hayafanywi na wanachadema bali ni wanaCCM wanafanya haya kwa nia yao ovu ya kuvuruga utengamano ulio ndani ya chama. Lakini imani yangu hii inafifishwa na ukimya wa uongozi wa juu wa chama. Tafadhari viongozi wetu wa chama, zishughulikieni tofauti hizi kabla hazijaleta madhara makubwa chamani.

sio wewe tu tupo wengi tumesikitishwa sana na haya mambo yanayoendelea kwenye mitandao na hasa hasa idara ya habari kukalia kimya bila kutoa ufafanuzi juu ya haya au onyo kwa kweli inasikitisha sana ila ngoja tuvutesubira.
 
ni organaizesheni gani haipendi free ride ya publicity! let our cdm enjoy it! tena kwa gharama za ccm!!?? using puppets wa Lumumba! acha utani bana... at the end of the day chama kitatoa simple and short statement ya kuwataka wote wanaoona wamechafuliwa waende mahakamani na mjadara unafungwa. but mwisho wa siku the end justify the means... nani amegain katika hizi sarakasi zote!? cdm nnaimani kitaibuka na mo advantage kwani kitakuwa kinedhihirisha kwamba hata katika tufani na gharika bado chama hakisambaratiki.

poor you

CDM will never collapse not because it is a party, it is a saccos just family get together

anayeiua chadema ni chadema, CCM hawapo hapa

it seems u dont know what is goin on bro

CDM will never die, simply because it is a not a party, CDM as a party has arleady passed away long long long ago
 
Mwl Nyerere alipata kusema huwezi kujua uimara wa nyumba yako hadi pale inapopata dhoruba na baada ya dhoruba utagundua nyufa za kuziba.
 
poor you

CDM will never collapse not because it is a party, it is a saccos just family get together

anayeiua chadema ni chadema, CCM hawapo hapa

it seems u dont know what is goin on bro

CDM will never die, simply because it is a not a party, CDM as a party has arleady passed away long long long ago

let me pretend that I agree with u, now chama kama chama mna mbinu nyingi za kuviangamiza through mapandikizi. na wote ni mashahidi wa jinsi vyama vilivyokuwa strong vimekufa kwa mbinu hii ya mapandikizi. now cdm as a "saccos" inayopigania maslahi ya wananchi na inayopendwa na kuaminiwa na wananchi walio wengi na ambayo kwa kujivisha ngozi ya "usaccos" ccm mmeshindwa kuivunja na kuisambaratisha I opt to side with it than being in party which is just another puppet of ccm. after 2015 election you will no longer call it a "saccos" but rather a "bank"
 
mimi hii mbinu ya kuka kimya nimeipenda....inawashangaza na kuwachanganya ccm....inawapoteza ccm kwenye hoja za msingi.....ina waprovoke wanasema yote...ukisoma shutuma btn the lines utaona.....ccm wanaweweseka....ukiangalia unaona ccm ndo wamepanic badala ya CDM....soon watachezabtena ngoma ya CDM.......siasa ni kama mchezo wa CHASE.....ungekua unafuatilia siasa za republican na democratic ndo ungenielewa vizuru.....USIPANIC
 
sio wewe tu tupo wengi tumesikitishwa sana na haya mambo yanayoendelea kwenye mitandao na hasa hasa idara ya habari kukalia kimya bila kutoa ufafanuzi juu ya haya au onyo kwa kweli inasikitisha sana ila ngoja tuvutesubira.
mimi hii mbinu ya kuka kimya nimeipenda....inawashangaza na kuwachanganya ccm....inawapoteza ccm kwenye hoja za msingi.....ina waprovoke wanasema yote...ukisoma shutuma btn the lines utaona.....ccm wanaweweseka....ukiangalia unaona ccm ndo wamepanic badala ya CDM....soon watachezabtena ngoma ya CDM.......siasa ni kama mchezo wa CHASE.....ungekua unafuatilia siasa za republican na democratic ndo ungenielewa vizuru.....USIPANIC
 
Natafuta jibu la usingizi huko makao makuu, kuna watu wamepata shida na wengine kuhujumiwa kazini kwa ajili ya mapenzi kwa CHADEMA, leo iweje watuletee mitafaruku then ukimya utawale?

mimi hii mbinu ya kuka kimya nimeipenda....inawashangaza na kuwachanganya ccm....inawapoteza ccm kwenye hoja za msingi.....ina waprovoke wanasema yote...ukisoma shutuma btn the lines utaona.....ccm wanaweweseka....ukiangalia unaona ccm ndo wamepanic badala ya CDM....soon watachezabtena ngoma ya CDM.......siasa ni kama mchezo wa CHASE.....ungekua unafuatilia siasa za republican na democratic ndo ungenielewa vizuru.....USIPANIC
 
Sijasikia mtu yeyote akizungumzia mnyukano wa Sumaye,Lowasa,Makamba na wengineo ndani ya CCM. Why hili la Chadema linaitwa kuua chama na lawama ni kwa Mbowe na Slaa?
 
Back
Top Bottom