Mkuu NDOA sio shida ni wewe muoaji
inatakiwa kabla ujao zingatia mambo haya
kwanza
7bu gani inayokupelekea kuoa
na je hiyo 7bu unafikili mwenzako yupo tayari
kwa mfano mm nilioa 7bu nilikuwa nahitaji sana watoto lkn nilikuwa nahitaji ndani ya ndoa
mchumba wa kwanza alikuwa na sifa zote za kuwa mke na alikuwa tayari kuolewa lkn tabu ilikuja yeye tukishaoana alitaka tujijenge kwanza km miaka 2 ndo tuzae
hilo shauri kwangu mm likawa hapana 7bu ninachotaka sivyo anavyotaka yeye hivyo ingekuwa ni ndoano si ndoa yaani mateso
tukaachana
wapili ilikuwa yuko tayari kwa kila kitu na yuko poa zaidi ya sana na nilimpenda sana 7bu anajua nini mwanaume anataka na nn afanyiwe na alikuwa ni msichana tu mdogo k tabu alikuwa na watoto 2 na mumewe alifaliki wa awali nikawaza na kuwazua nikasema hapana japo aliniburudisha sana kwa kila kitu na zaidi alinipenda
mchumba wa tatu ndo nikamuoa nilipata vyote nikivyohitaji lkn sikuwa nampenda kivile ukizingatia umri unaenda na natatakiwa niitwe baba nikaoa tu mwenzi mmoja tu wa ndoa ikajibu MIMBA sema mpk furaha hakuna
jambo jingine ni kuoa katika tunaowapenda na si kwa7bu fulani
mfano nilioa kwa7bu ya kuhitaji sana watoto lkn nikajisahaulisha NDOA ni muunganiko wa mambo mengi
kwakweli niliemuoa sikuwa nimempenda bali kuna kitu nilikuwa nataka na yeye anacho sasa baada kuzaa nilitegemea ningempenda lkn tofauti hata hamu ya kufanya nae tendo la ndoa ikawa sina kwa mwenzi tunaweza fanya mara 2 hapo tuna mtoto 1 na mm plani watoto wawili au watatu nafsi yangu inataka watoto wote wawe mama mmoja baba mmoja na ndo kwanza tuna mmoja na mm nilitamani tuwe hata na watoto 3 hvyo nkaishi nae kwa sononeko kwa kuoa kufuata nguvu ya kitu kimoja wakati sikuwa nampenda nikiamini nitampenda mbele kwa mbele mwisho sasa najuta kumuacha siwezi nasubili angalau nipate wawili watoto then niangalie ustaarabu mwingne
jambo jingine ni uchumi inatupaswa kabla hatujaoa tusifake maisha oa katika wanawake ambao unaweza kuwatunza yeye mwenyewe na familia yake
kwa maisha ya sasa km unajiona bado kiuchumi basi oa mwanamke ambaye familia yake si tegemezi zaidi kwake ili kuepuka ghasia malalamiko ya kutunza familia ya ziada 7bu kitanzania mtoto wa kike katika hizi familia duni ndo hutegemewa sana hivyo chunga unaoa mke toka familia ya aina gani ama sivyo ndoa utaona mateso tu
hvyo mkuu katika hayo mambo ukitumia busara katika kuoa ni raha sana
mimi sasa nimeoa mwingne hivyo ninafurahia ndoa safi kabisa 7bu nimejifunza kwa mke aliopita hvyo NDOA ni jambo zuri sana ukipatia mke ila ukikosea utajutaaaa
Sent using
Jamii Forums mobile app