Maoni yangu: Mwanamke ni source ya destruction duniani hapa

1. Historia ya familia ya kwanza Adam na Eve ina testify hili

2. Hata kwenye mahusiano chunguza sana..ushaur wa negative kuhusu rafiki zako, ndugu zako etc conversation hyo ya kwanza utaona anaanzisha mwanamke.
Atakwambia "Yule rafiki yako mbona hiki mbona kile...anakulia pesa zako etc"

Au atakwambia kwann mama yako asiende uguziwa nyumban au huyu mtoto wa ndugu usimsomeshee huko huko kwao

3. Wao ndio watoaji mimba...u cant kill some1 inside you..hili tendo ni la ukatili sana, tunachukulia poa tu na huwez justify kuua mtu...decision hii anafanya mwanamke

4. Treatment ya mwanamke kwa mwanamke au mwanamke kwa mwanaume kwenye chochote ni tofaut kabisa na treatment ya mwanaume kwa mwanamke au mwanaume kwa mwanaume. Chunguza tuu..kwenye mambo yote mwanamke hana humility

Hebu angalia mfano wa mama mwenye nyumba na msaidiz wa kazi..mfano m1 tu huu.

Hata mfano wa mama wa kambo kwa mtoto ...ni kama custom yan

5. Ni rahis sana kwa mwanamke kuonyesha hypocrisy kuliko mwanaume...chunguza the way wanavyosifiana wakiwa pa1 akat pemben ni maadui wakubwa

Wanaongoza pia ku fake orgasm ..(out of context)

6. Mambo ni mengi sana

N.b..wanatuzaa..ndo mama zetu dada zetu..hawahawa...ni mtihan mkubwa sana

Kumbuka pia...
Upendo wa kwel kwa mwanamke UPo kwa mtoto wake wa kumzaa peke yake..tena yule anaemzaa na kumshika...ingaea wapo wanaotupa watoto pia...ndo ajab lingne hilo la hawa ndugu zetu

Mwanamke hathamini kingne zaid ya hiko...maana mengne yote kwa mwanamke ni ya kando

Uzi tayar.
Mimi naona huna hoja swala la mapenzi ni la kwako, umechagua mwenyeww uliyanaye . Pili Kama hapendi ndugu zako unakaanaye naye wa nini. Ndoa ni chagua lako mwenyewe ukikosea utajijua mwenyewe.
 
Kwahyo hata adamu alikosea.
 
1. Historia ya familia ya kwanza Adam na Eve ina testify hili

2. Hata kwenye mahusiano chunguza sana..ushaur wa negative kuhusu rafiki zako, ndugu zako etc conversation hyo ya kwanza utaona anaanzisha mwanamke.
Atakwambia "Yule rafiki yako mbona hiki mbona kile...anakulia pesa zako etc"

Au atakwambia kwann mama yako asiende uguziwa nyumban au huyu mtoto wa ndugu usimsomeshee huko huko kwao

3. Wao ndio watoaji mimba...u cant kill some1 inside you..hili tendo ni la ukatili sana, tunachukulia poa tu na huwez justify kuua mtu...decision hii anafanya mwanamke

4. Treatment ya mwanamke kwa mwanamke au mwanamke kwa mwanaume kwenye chochote ni tofaut kabisa na treatment ya mwanaume kwa mwanamke au mwanaume kwa mwanaume. Chunguza tuu..kwenye mambo yote mwanamke hana humility

Hebu angalia mfano wa mama mwenye nyumba na msaidiz wa kazi..mfano m1 tu huu.

Hata mfano wa mama wa kambo kwa mtoto ...ni kama custom yan

5. Ni rahis sana kwa mwanamke kuonyesha hypocrisy kuliko mwanaume...chunguza the way wanavyosifiana wakiwa pa1 akat pemben ni maadui wakubwa

Wanaongoza pia ku fake orgasm ..(out of context)

6. Mambo ni mengi sana

N.b..wanatuzaa..ndo mama zetu dada zetu..hawahawa...ni mtihan mkubwa sana

Kumbuka pia...
Upendo wa kwel kwa mwanamke UPo kwa mtoto wake wa kumzaa peke yake..tena yule anaemzaa na kumshika...ingaea wapo wanaotupa watoto pia...ndo ajab lingne hilo la hawa ndugu zetu

Mwanamke hathamini kingne zaid ya hiko...maana mengne yote kwa mwanamke ni ya kando

Uzi tayar.
Mimi naona huna hoja swala la mapenzi ni la kwako, umechagua mwenyeww uliyanaye . Pili Kama hapendi ndugu zako unakaa wa nini. Ndoa no chagua lako mwenyewe ukikosea utajijua mwenyewe.
Kwahyo hata adamu alikosea.
Mzee Binadamu tumepewa akili ya kufikiri, kuchambua na kuja na maamuzi so makosa yako usimlaumu mtu mwingine. Hoja ya adamu alikuwa anauwezo wa kukataaa ushawishi wa Eva so jiongezee mwenyewe Kama alikosea au hakukosea
 
Uliielewa mada lakin?...

Mada inaegemea katika ni nani mwanzilishi wa mabalaa...ishu iko..ni nan anaeleya matatzo...kiini cha matatzo...so uzi umelenga katika ku mrecognise huyo mleta matatzo pekee...so unapoanza kunihubiria sjui bla bla sielew..elewa bandiko kwanza..hzo blabla zingne sio uzi wake..tutaweka uzi huo sku nyingne
 
Mimi naona huna hoja swala la mapenzi ni la kwako, umechagua mwenyeww uliyanaye . Pili Kama hapendi ndugu zako unakaa wa nini. Ndoa no chagua lako mwenyewe ukikosea utajijua mwenyewe.

Mzee Binadamu tumepewa akili ya kufikiri, kuchambua na kuja na maamuzi so makosa yako usimlaumu mtu mwingine. Hoja ya adamu alikuwa anauwezo wa kukataaa ushawishi wa Eva so jiongezee mwenyewe Kama alikosea au hakukosea
Hata petrol usipo i ignite haiwaki.so lazimaa kuwe na kianzisha moto ..so uzi umelenga katika kumtambua kianzisha moto....stick kwenye mada mkuu .........na upgrade ua thinking.
 
Hata petrol usipo i ignite haiwaki.so lazimaa kuwe na kianzisha moto ..so uzi umelenga katika kumtambua kianzisha moto....stick kwenye mada mkuu .........na upgrade ua thinkingkwah

Hata petrol usipo i ignite haiwaki.so lazimaa kuwe na kianzisha moto ..so uzi umelenga katika kumtambua kianzisha moto....stick kwenye mada mkuu .........na upgrade ua thinking.
Tatizo lako unataka tukubaliane na mawazo yako kwahiyo mwanamke akianzisha huo Moto wewe huwezi kuuzima? Swala ni kwamba whether Ana makosa au Hana anaanzisha au anamaliza bado wewe una akili ya kuchakata Mambo so unaweza kupima na kuamua so kukimbilia yeye ndio amenisababishia haya. Kwani usingemuacha?
 
Mkuu...mim sijisifii....sijawai kuwa na tatzo la kupata mwanamke..hata watu wanaosoma nyuz zangu wanafaham hilo...yaan inshort mim ndio nawaaendesha wanawake....

Kwahyo umekosea ...huyo mtu si mim

Tukirud kwenye uzi...jibu hoja usikurupuke..kanusha nilichokisema sio kuni attack kama unanijua vile....

I got 99 problems lakin mwanamke hajawai kuwa tatzo kwangu...nna madem weng nawakimbia mim..

Kanusha nilichoandika kwenye uzi mkuu.rahis tu

Wanawake wamekuwa msaada kwangu hizo chuki unazoona labda kwa hao waliokuzunguka kuna wanawake wanakaa na hiusegirls vizuri na hata watoto wakambo bila shida.
Na kama wanawake ni source ya destruction wewe mbona uko hai? Au baba alienda labour? Ukiona jamii wanawake wana roho mbaya jua hata kizazi chao ni cha nyoka.
Hao unaona ona wana roho mbaya angalia hata wanaume wanaowazunguka
 
Ndio maana imeandikwa tuishi nao kwa akili
 
Tatizo lako unataka tukubaliane na mawazo yako kwahiyo mwanamke akianzisha huo Moto wewe huwezi kuuzima? Swala ni kwamba whether Ana makosa au Hana anaanzisha au anamaliza bado wewe una akili ya kuchakata Mambo so unaweza kupima na kuamua so kukimbilia yeye ndio amenisababishia haya. Kwani usingemuacha?
Bas sawa mkuu.tuishie hapa
 
Wanawake wamekuwa msaada kwangu hizo chuki unazoona labda kwa hao waliokuzunguka kuna wanawake wanakaa na hiusegirls vizuri na hata watoto wakambo bila shida.
Na kama wanawake ni source ya destruction wewe mbona uko hai? Au baba alienda labour? Ukiona jamii wanawake wana roho mbaya jua hata kizazi chao ni cha nyoka.
Hao unaona ona wana roho mbaya angalia hata wanaume wanaowazunguka
Kwa haraka haraka tu fanya tafit zako..uliza watu 10 maswal haya
1.kat ya mwanaume na mwanamke nan mwenye historia ya kutesa watoto wa kambo
2.kat ya mwanaume na mwanamke nan anaongoza tesa wadada wa kaz
3.mimba anatoa nani

Ukipata majib..pima uzan umeelekea wap..utapata majib mkuu
 
Ubatili mtupu! Maisha hayana maana yoyote

Voice of Suleiman
 
1. Historia ya familia ya kwanza Adam na Eve ina testify hili

2. Hata kwenye mahusiano chunguza sana..ushaur wa negative kuhusu rafiki zako, ndugu zako etc conversation hyo ya kwanza utaona anaanzisha mwanamke.
Atakwambia "Yule rafiki yako mbona hiki mbona kile...anakulia pesa zako etc"

Au atakwambia kwann mama yako asiende uguziwa nyumban au huyu mtoto wa ndugu usimsomeshee huko huko kwao

3. Wao ndio watoaji mimba...u cant kill some1 inside you..hili tendo ni la ukatili sana, tunachukulia poa tu na huwez justify kuua mtu...decision hii anafanya mwanamke

4. Treatment ya mwanamke kwa mwanamke au mwanamke kwa mwanaume kwenye chochote ni tofaut kabisa na treatment ya mwanaume kwa mwanamke au mwanaume kwa mwanaume. Chunguza tuu..kwenye mambo yote mwanamke hana humility

Hebu angalia mfano wa mama mwenye nyumba na msaidiz wa kazi..mfano m1 tu huu.

Hata mfano wa mama wa kambo kwa mtoto ...ni kama custom yan

5. Ni rahis sana kwa mwanamke kuonyesha hypocrisy kuliko mwanaume...chunguza the way wanavyosifiana wakiwa pa1 akat pemben ni maadui wakubwa

Wanaongoza pia ku fake orgasm ..(out of context)

6. Mambo ni mengi sana

N.b..wanatuzaa..ndo mama zetu dada zetu..hawahawa...ni mtihan mkubwa sana

Kumbuka pia...
Upendo wa kwel kwa mwanamke UPo kwa mtoto wake wa kumzaa peke yake..tena yule anaemzaa na kumshika...ingaea wapo wanaotupa watoto pia...ndo ajab lingne hilo la hawa ndugu zetu

Mwanamke hathamini kingne zaid ya hiko...maana mengne yote kwa mwanamke ni ya kando

Uzi tayar.
Karibu kila ulichoandika hapo sababu ni nyie wanaume...Kama hujakataa mimba ataitoa vipi?
Kama hamfanyi mambo ya ajabu na marafiki zako au hufanyi matumizi mazuri ya pesa atakuzuia vipi marafiki? nyie mnachangia kwa asilimia kubwa kuzikuza hizo tabia na mwisho mwanamke anaonekana mbaya.
 
Ni kweli kabisa lakini hilo lisikupe tabu brother.
kwasababu hilo ni swala la nature bila shaka halina shida yoyote na ndiyo maana kama wanaume tukapewa vifua vya kuweza kuyahimili madhaifu yote hayo ya mwanamke na ndio sababu ya kumuweka mwanamke awe chini ya mwanaume . wanawake ni viumbe wareembo sana, kwanza wanaipamba dunia yetu ,wanatufanya wanaume tuone sababu ya kutafuta maisha na kuishi,nature imeamua tuwe na tamaa juu yao na tunawapenda saaana na upendo huu tulionao juu yao ndio hutufanya tusiyakumbuke madhaifu yao abadani, wao ndio hutuzaa, wao ndio hutulea pamoja na usumbufu wote wa mtoto mwanamke haoni kama ni tabu kwake. madhaifu hayo ya mwanamke hayana tatizo lolote brother ila tu lilipokuja swala la usawa (50/50) ndipo mambo yalianza kwenda mrama.
Never keep doubt over nature life is balanced
 
Kwa haraka haraka tu fanya tafit zako..uliza watu 10 maswal haya
1.kat ya mwanaume na mwanamke nan mwenye historia ya kutesa watoto wa kambo
2.kat ya mwanaume na mwanamke nan anaongoza tesa wadada wa kaz
3.mimba anatoa nani

Ukipata majib..pima uzan umeelekea wap..utapata majib mkuu

Nikukimbushe tu wanawake huwa hawabaki housegirls na watoto wa kambo wa kike. Udhalimu wa wanaume wanaofanyia hao watoto wa kambo wa kike na housegirls ni hatari sema jamii inafumbia macho. Kutoa mimba na kukataa mimba wote ni wale wale tu.
 
Mim huwa naamini,mwanamke ndo kiumbe pekee hapa duniani ambacho kiko karibu zaidi na shetani
 
Dunia inashikiliwa na mwanamke
Heshima ya mwanaume ni mwanamke
Mwanaume hawez kumkomoa mwanamke
Mwanaume hatulii mpk atulizwe na mwanamke
Mwanamke hawez kutulizwa na mwanaume mpk aaamue mwenyewe kutulia
Dunia ni ya kike...
Hakuna mwanaume alishawah kumuelewa mwanamke
Kiumbe kinachoongozwa kwa hisia ni mwanamke
Ukitaka maisha yako yawe mazuri mfanye mwanamke wako akupende sana kuliko ww utakavyompenda na ukimpenda sn usimwonyeshe kwa % 60..
Tofauti kubwa ya kiasili kati yetu na wao ni hawawez kugongana wakiwa na hasira.. Tchao
 
Kingine mwanamke anaongea kisha ndio anafikiria alichokiongea tofauti na mwanaume, ndio sababu inasemwa baadhi ya wanawake wana midomo michafu.
 
F

Funguka mjomba ulitaka kuvunjq mtu mgongo nn ?
Noo ukipenda mtu huwezi mpiga

Sema ukionyesha kujali sana anajisahau au kukuumiza zaidi, ikifika hii point utaona hayo mahusiano kwako n mzigo na haujaliwi tena
 
Back
Top Bottom