Maoni yangu kama Mwanaume katika miezi 17 ndani ya ndoa

Maisha ya ndoa hayataki wingi wa demokrasia ndani ya nyumba.....Kuna muda unatakiwa uiendeshe serikali yako kwa mkono wa chuma kwa manufaa ya wote ya baadae.......

Mara nyingi matamshi ya mwanamke huwa yanakwenda kinyume na utashi wake....

Sifa ya mwanaume ni ubabe, ukakamavu, na ujasiri.....unatakiwa yote hayo uyaoneshe lakini katika namna ya kuinufaisha familia yako na sio kuiangamiza........

Mwanamke anahitaji kuongozwa na sio kutawaliwa......
 
Huu ni muda mfupi katika ndoa, lakini bado ni muda mrefu pyschologically, physically na emotionwise katika harakati ya kuishi wawili na mtu mlio kutana nae ukubwani. Bado nina mengi ya kukutana nayo.

Lakini kwa sasa nina weza kusema yafuatayo:

■Kwa dunia ya sasa, usiingie kwenye ndoa ukimchukulia mwanamke kama mtu baki kama mababu na mababa zetu walivyofanya, utabaki kupambana kupata heshima ya lazima. Kwa wale mr. Kupelekesha labda ubaatishe.

■Kuna vitu vidogo vinavyotukera wanaume ila ndio furaha kwa mwanamke, mfano: mabinti wana penda surprise sana, wanapenda kuona kitu kimebadirika nyumbani, hata kama umekuja umechoka anataka uwe mwingi wa story, hata kama wewe umeridhika katika sex..Na yeye bado..Itakubidi uendelee kufanya..Etc.

■Mwanamke ni kiumbe tofauti kabisa na wewe mwanaume. Kihisia, kimaamuzi na kisaikolojia, so usidhani unavyowaza na kuwazua na yeye akafanya kwa namna hio, usifikiri unavyo react na jambo kihisia na yeye atafanya hivyo.

■Usikutane na mwanamke katika mazingira au hali ya kutatanisha, alafu upendo juu yake ukakupa moyo kuwa ukimuoa eti asije kuwa yule wa kutatanisha.

■Usiingie kwenye ndoa kutafuta pumziko na faraja, ingia kwenye ndoa kupambana vita ya vitu ambavyo haukuwaza kuja kutokea maishani mwako, vya furaha au tabu.

■Kuna vitu tusivyoviwaza ila ndio vina influence ustawi wa ndoa yako. Mfano muda kwa kurudi nyumbani baada ya kazi, kuangalia match day nyumbani, weekend unavyoitumia na mkeo,..Etc

■Ukweli ni kuwa ule munkari wa kupendana, kuonana kama king na queen na kutamaniana huwa unapungua siku zinavyoenda, so kuwa tayari kwa hali hiyo usije ukadhani umeanza kuchukiwa na ukadhani mpango wa kando ndio utakurudisha furaha yako.

■Hata awe nani, mwanamke hawezi kukuonesha uzuri wake wote au makucha yake yote katika uchumba, utakutana navyo katika ndoa in 3 to 5 months, na ukishakutana navyo usimkatie tamaa, jifunze naye siku baada ya siku.

■Kama unajua una tabia ya kuwa na vimada au kutumia makahaba, fanya kwa namna haitamuathiri mke wako kwa kulinda heshima yake. Ila yeye pia unaweza kuta ana kibwana na wewe hujui angali anakupa heshima kama mme. Siku ukijua usifanye maamuzi ya athari, oanisha na yale uliyowahi kufanya..Fanya maamuzi mepesi.

■Kama una uwezo, na mke wako hana ajira, jitahidi mke wako asiwe mwanamke wa nyumbani, mfungulie kabiashara, mindset itafunguka kukutana na dunia mpya ya nje na pia kupunguza mwanamke kuwa bored na kuanza umbeya.

■Usiingie kwenye ndoa ukamuwekea mwanamke list ya misingi mingi anayopaswa kufata, kumbuka yeye hajalist misingi yoyote juu yako, so brother utachoka mapema..Coz utabaki tu kufukuzana na utii kutoka kwa mke wako hadi uzeeni.

■Mkabidhi mungu ndoa yako.

Una mke mzuri, sasa Kwa sio kila mtu ana Kama wakwako; Mie napigwa kila siku sasa hizo bulletin zako haiziwezi nisaidia!
 
Tuliza akili, nawa uso, tuliza munkari.

"Nimesema Nilioyaona ndani ya miezi 17 na bado kuna mengi ya kujifunza."

Tofauti na hapo akili ya iko lesi au ndezi.

Wewe una mke mzuri, a simple conclusion, sio mfano mzuri Sana Kwa watu. Ulichoandika kwangu hakifai kabisa!

Kwa ufupi mke wako anakuendesha! Kila la heri!
 
Huu ni muda mfupi katika ndoa, lakini bado ni muda mrefu pyschologically, physically na emotionwise katika harakati ya kuishi wawili na mtu mlio kutana nae ukubwani. Bado nina mengi ya kukutana nayo.

Lakini kwa sasa nina weza kusema yafuatayo:

■Kwa dunia ya sasa, usiingie kwenye ndoa ukimchukulia mwanamke kama mtu baki kama mababu na mababa zetu walivyofanya, utabaki kupambana kupata heshima ya lazima. Kwa wale mr. Kupelekesha labda ubaatishe.

■Kuna vitu vidogo vinavyotukera wanaume ila ndio furaha kwa mwanamke, mfano: mabinti wana penda surprise sana, wanapenda kuona kitu kimebadirika nyumbani, hata kama umekuja umechoka anataka uwe mwingi wa story, hata kama wewe umeridhika katika sex..Na yeye bado..Itakubidi uendelee kufanya..Etc.

■Mwanamke ni kiumbe tofauti kabisa na wewe mwanaume. Kihisia, kimaamuzi na kisaikolojia, so usidhani unavyowaza na kuwazua na yeye akafanya kwa namna hio, usifikiri unavyo react na jambo kihisia na yeye atafanya hivyo.

■Usikutane na mwanamke katika mazingira au hali ya kutatanisha, alafu upendo juu yake ukakupa moyo kuwa ukimuoa eti asije kuwa yule wa kutatanisha.

■Usiingie kwenye ndoa kutafuta pumziko na faraja, ingia kwenye ndoa kupambana vita ya vitu ambavyo haukuwaza kuja kutokea maishani mwako, vya furaha au tabu.

■Kuna vitu tusivyoviwaza ila ndio vina influence ustawi wa ndoa yako. Mfano muda kwa kurudi nyumbani baada ya kazi, kuangalia match day nyumbani, weekend unavyoitumia na mkeo,..Etc

■Ukweli ni kuwa ule munkari wa kupendana, kuonana kama king na queen na kutamaniana huwa unapungua siku zinavyoenda, so kuwa tayari kwa hali hiyo usije ukadhani umeanza kuchukiwa na ukadhani mpango wa kando ndio utakurudisha furaha yako.

■Hata awe nani, mwanamke hawezi kukuonesha uzuri wake wote au makucha yake yote katika uchumba, utakutana navyo katika ndoa in 3 to 5 months, na ukishakutana navyo usimkatie tamaa, jifunze naye siku baada ya siku.

■Kama unajua una tabia ya kuwa na vimada au kutumia makahaba, fanya kwa namna haitamuathiri mke wako kwa kulinda heshima yake. Ila yeye pia unaweza kuta ana kibwana na wewe hujui angali anakupa heshima kama mme. Siku ukijua usifanye maamuzi ya athari, oanisha na yale uliyowahi kufanya..Fanya maamuzi mepesi.

■Kama una uwezo, na mke wako hana ajira, jitahidi mke wako asiwe mwanamke wa nyumbani, mfungulie kabiashara, mindset itafunguka kukutana na dunia mpya ya nje na pia kupunguza mwanamke kuwa bored na kuanza umbeya.

■Usiingie kwenye ndoa ukamuwekea mwanamke list ya misingi mingi anayopaswa kufata, kumbuka yeye hajalist misingi yoyote juu yako, so brother utachoka mapema..Coz utabaki tu kufukuzana na utii kutoka kwa mke wako hadi uzeeni.

■Mkabidhi mungu ndoa yako.

Allaaaaaa nilifikiri 17 years, kumbe 1 year, hehehehehe shutup, ujaanza ndoa na humjui mwanamke wewe! Ngoja na subiri.
 
Kuna wanawake hata boyfriend /mume wake amfanyie mambo mabaya kiasi gani hawezi msaliti lakini pia wengine hata umfanyie wema kiasi gani atakusaliti…
 
Hiyo ya tatu kutoka mwisho NAIKATAA tena kwa herufi kubwa.

Ni hivi, mm ni daktari, mwanamke niliyekua naishi nae ni mkulima. Kwahyo kuna msimu wa kiangazi anakua idle sana maana haendi shambani.. inaweza tokea hata miezi saba yupo nyumbani kama housewife.

Kutokana na hiyo hali na mazingira ya pale nyumbani nikawa naona anakua bored sana na kujichanganya mda mwingi na mashosti yani umbea umbea, nikaona isiwe kesi nikamfungulia biashara.

Nilitafta frame mitaa ya soko kuu. Nikamfungulia duka-genge (nadhani nimeeleweka) yani niliweka mahitaji ya dukani pamoja na gengeni ktk kiofisi kimoja. Ikawa asubuhi napoenda kazini namdrop pale gengeni, jioni nikitoka mapema narudi home kupumzika ikifika mda wa kufunga ananishtua naenda kumfata na kausafiri kangu. Hiyo ndio ikawa ratiba.

Sikatai, yule dada mcheshi sana na ana msambwanda wa kufa mtu. Kama biashara zilivyo akaanza kua na mazoea na masela wa pale sokoni, sikua na wasiwasi kwavile nilijua ni mambo ya business ukiwa kauzu sana wateja ni ngumu kukuzoea.

Kuna mwamba nilikua namkuta mara kadhaa mida ya jioni anasimama pale dukani kuhudumiwa analeta leta viutani vya kijinga jinga kwa wife, wife nae anajichekesha chekesha kifala fala tu. Msela ana ofisi yake ya kukopesha ela mtaa wa jirani ila aliweka sana mazoea na wife.

Ghafla mtaji ulivyokua nikaona wife dharau nyingi analeta, mara nikitaka kumpitia jioni analeta sababu nisimfate atafika chap na boda na visingizio vya kifala fala.

To make the topic short, pale kitaa wahuni wengi ni machizi wangu wakanitonya mchizi wa mikopo anamega wife wakanichorea ramani fresh na hivi juzi jmosi tukawanasa red-handed lodge, nikafukua mtaro wa jamaa na wife nikamuachia. Naskia mwanamke amerudi kwao na kwangu anaogopa kurudi kamtuma rafiki yake afate nguo...

My Take: kama upo vizuri kiuchumi, mahutaji unayakamilisha home na familia unaweza kuitunza.. usimfungulie biashara mwanamke. Mfanye tu awe mama wa nyumbani akulelee watoto wako..

Sorry kwa unandishi mbovu nilikua night jana usingizi mwingi sana sikulala kabisa
Upo sawa kabisa. USIMFUNGULIE MWANAMKE BIASHARA, ACHA AWE MAMA WA NYUMBANI....
 
Hapo moja tu ndio la maana MKABIDHI MUNGU NDOA YAKO.
Hayo yaliyobaki sina uhakika nayo.
 
Back
Top Bottom