Maoni yangu juu ya tukio la Askari Polisi dhidi ya Mwanajeshi katika benki fulani jijini Dar es Salaam

Abuhafsa
Wewe ngoja nikuulize swali mfano wewe ni askari unayo bastora Ila umevaa kiraia ukakutana na polisi wale polisi wakakushambilia Kwa risasi na kuatalisha usalama wako ila wewe unawatambua kua ni polisi ila nanataka kukuua wakidhani ni jambazi ungefanyaje Kwa mujibu wa maelezo yako unge jiachia wakutoe roho kizumbe Kwa sababu hao polisi wapo kazini ????? Sasa jibu ni kwamba kwakua akuna namna yoyote ya kujiokoa ingebidi upigane nao risasi hata kama ungewaua hao polisi kwakua akuna jinsi
 
wewe mbna una maswali ya kipuuzi namna hii?????


doh hufai hata kujibiwa...
kuna wajinga wanatumia mitandao..
mana sio kwa maswali haya
Na kama unajua friend fire unajua nini kinasababisha friend fire na je unajua mafunzo ya kujilinda na friend fire je unajua hukumu za friend fire
 
Jamani naomba link ya mkaa guy. Ningependa kusoma jinsi wanahabari walivyoitoa. Thanx in advance
 
Kilichotokea ushahidi anao askari wa SUMA-JKT aliyekuwepo pale, hizi nyingine ni porojo tupu
huyo suma jkt nae ndio pumba kabisa,
yaan madtective wanakuja kufanya uchunguzi wanakuta keshachukua maji na kafuta damu .yaan anaondoa ushahidi ameshindwa kujua kama kuna picha,ramani na michoro ingehitajika kwenye uchunguzi na kuweka kumbukumbu .

anaulizwa anajibu ooh! nimeona sijui inzi.hovyo kabisa.
 
Aisee umeandika kishabiki sana
Maswala ya commanding yapo huko tuu nchi za wasio na furaha

Hilo ni taifa la watu mpo mpo tu kama misukule endeleeni kuwapa maaskari promo as if ni daraja la juu wakati ninyi ndio wenye nchi
 
Tatizo jeuri imewatala polisi .Sioni jinsi gani mteja anatoa hela ATM ni security risk. Polisi tz hovyo sana.
 
Back
Top Bottom