maoni yangu: chadema angalieni mbali!

maoni yangu: chadema angalieni mbali!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,236
Reaction score
14,868
wekezeni kwenye kuijenga chadema imara, msiangalie sana leo bali angalieni miaka 5-10 ijayo, kwa maoni yangu mpaka 2030 tanzagiza itakuwa imevurugwa na kuharibiwa na ccm kiasi kwamba yoyote atakaye kuja atapigiwa kura, hivyo fanyeni kila muwezalo msiharibu chadema kwani 2030 kama mkiwa imara na intact ni nchi nzima inaenda chadema, hata waislamu (wachini) watakuwa wamechoka pia.

look at this way, kihistoria maraisi wa tanzagiza hufanya kazi nzuri muhula wao wa kwanza halafu kama ni kuharibu hutokea muhula wa pili, sasa leo muhula wa kwanza hali iko hivi ina maana sasa hivi ndiyo “wamepiga kazi” na muhula wa pili kama historia inatufundisha chochote ndiyo wataharibu, sasa fikiria wa sasa waanze kuharibu yaani sasa hivi hawajaharibu bado wamepiga kazi.

angalieni na chungeni ili 2030 muwe vizuri na siyo mbali …
 
Umemaliza kunywa chai ya maziwa, mchana utakula pilau,ila Lissu now yupo death row,mahakaman huendi
 
wekezeni kwenye kuijenga chadema imara, msiangalie sana leo bali angalieni miaka 5-10 ijayo, kwa maoni yangu mpaka 2030 tanzagiza itakuwa imevurugwa na kuharibiwa na ccm kiasi kwamba yoyote atakaye kuja atapigiwa kura, hivyo fanyeni kila muwezalo msiharibu chadema kwani 2030 kama mkiwa imara na intact ni nchi nzima inaenda chadema, hata waislamu (wachini) watakuwa wamechoka pia.

look at this way, kihistoria maraisi wa tanzagiza hufanya kazi nzuri muhula wao wa kwanza halafu kama ni kuharibu hutokea muhula wa pili, sasa leo muhula wa kwanza hali iko hivi ina maana sasa hivi ndiyo “wamepiga kazi” na muhula wa pili kama historia inatufundisha chochote ndiyo wataharibu, sasa fikiria wa sasa waanze kuharibu yaani sasa hivi hawajaharibu bado wamepiga kazi.

angalieni na chungeni ili 2030 muwe vizuri na siyo mbali …
2030 mtu anachuma mchicha saa kumi na mbili alfajiri mwanza saa tano mchicha unauzwa temeke dar es salaam,kila mtoto shule mpaka sekondari bure, hospital,zahanati,vituo vya afya mlangoni,skimu za umwagiliaji kila mkoa ndiyo utarajie CCM kuwa hoi!!..hapo upinzani kuwa na vibe tena ni baada ya 20 years
 
Ingelikuwa hivyo ndivyo,
Pasingelikuwepo chama Cha upinzani popote duniani
 
Kwa chadema hii ya sasa hivi unayemuona ana uwezo wa kuona miaka 10 ijayo ni nani? Akina lisu, lema, etc, ndiyo unataka waone miaka 10 ijayo?Wishful thinking 🤔
 
Back
Top Bottom