keen salva
Member
- Apr 8, 2017
- 73
- 21
Maoni yenu wakuu?????Heshima kwenu wakuu,
Niende kwenye mada, kama kichwa cha mada kinavyosema nahitaji maoni yenu kuhusu website yetu ya Mjasiriamali Desk pamoja na pre-release mobile app ya site amabayo unaweza ku-download kupitia kwenye site!
Pia tunakaribisha wote wenye nia thabiti ya kufanya mabadiliko ya secta ya Ujasiriamali na biashara Tanzanai,
karibu hapa Mjasiriamali desk, natanguliza shukrani!
Bado tunakaribisha wataalamu na wadau tushirikiane?Heshima kwenu wakuu,
Niende kwenye mada, kama kichwa cha mada kinavyosema nahitaji maoni yenu kuhusu website yetu ya Mjasiriamali Desk pamoja na pre-release mobile app ya site amabayo unaweza ku-download kupitia kwenye site!
Pia tunakaribisha wote wenye nia thabiti ya kufanya mabadiliko ya secta ya Ujasiriamali na biashara Tanzanai,
karibu hapa Mjasiriamali desk, natanguliza shukrani!
Nashukuru mkuu kwa maoni yako, nitafanyia kaziiko poa, ila rangi nyekundu inaboa kwa mtumiaji hasa mwenye kifafa au mgonjwa wa macho
mkuu?Inakatazwa kuweka link JF
karibuNaomba u mod sitaki kuona utoto kama wa humu ukifanyika
nishajiungakaribu
sawa, start participate add value to the community and soon you will get the chance to moderate,nishajiunga