Maoni ya wanasheria kuhusu tukio la Makonda

Maoni ya wanasheria kuhusu tukio la Makonda

Mbona hawajaongelewa matusi ya mwenzao?!! Je? Ni halali kumuita mwenzio kibaka???

Hapa tatizo litakalosumbua mahakamani ni neno "kibaka" kama ni tusi au sio tusi. Kama kamusi ya kiswahili sanifu haina maana ya hilo neno kama tusi au matusi,hapo ndipo watetezi wa mkuu wa wilaya watajua kama mchicha ni mboga au chachandu.
 
Tafasiri ya neno Kibaka kwenye Kamusi ya Kiswahili iliyotolewa na TUKI. Kiswahili kwenda Kiingereza!!

kibaka nm vi- [a-/wa-] pickpocket.
 
Mwanasehria Mkuu wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Tundu Lissu, alisema mkuu wa wilaya
ana mamlaka ya kuamuru mtu
aliyefanyakosa mahali ambako hakuna
polisi akamatwe.

Swali: Kama hakuna polisi anaamrisha akamatwe na nani? Raia au mgambo? Hizi sheria na wana sheria KIZUNGUZUNGU TUPU

Pole sana hata ww ( raia)sheria imekupa nguvu kukamata mtu anayetenda kosa mbele yako
 
Nyau wewe, mbunge na mkuu wa wilaya, wajua tofauti zao kimamlaka?? Mpumbavu na lofa mkubwa wewe. Huyo Kubenea atakula uongo na matusi yake. Bahati yake Makonda ni mstaarabu na mwenye huruma sana, huyo mbunge alitakiwa ale kipondo cha haja kabla ya kuswekwa upango

Wewe ndiyo ----- na mpuuzi mkubwa!
Hivi unajua kwamba Paulo Makonda alipewa U-Dc kama zawadi baada ya kumpiga na kumdhalilixha Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji na PM mstahafu Joseph Sinde Warioba?

Huyu jamaa amezoea vya kunyonga anafikiri kupata au kupanda cheo ni kwa kupiga wazee na Waasisi wa nji hii au kuwakomoa Wapinzani ili aonekana anachapa Kazi ya Magufuli!

This time atakuwa ame-bugi men!Kama alifikiri Saed Kubenea ni Warioba basi asubiri muziki monene!

PAULO MAKONDA ni Jipu tena la kwene makalio na lazima litumbuliwe tu!
 
Kama kibaka kweli? Na kakwapua simu za watu na ushaidi upo asiitwe kibaka

Mtu aliyemvizia Jaji Joseph Sinde Warioba akampiga ngwara kuna ubaya gani akiitwa KIBAKA? Hilo jina linamfaa sana huyu limbukeni wa Madaraka!

Makonda lazima atambue kuwa Mbunge Kubenea amechaguliwa na Wananchi wa Kinondoni ilhali yeye kateuliwa na Rais mchovu aliyeshindwa kukusanya hata Kodi ya makonteina!Nani bora?
 
Nyau wewe, mbunge na mkuu wa wilaya, wajua tofauti zao kimamlaka?? Mpumbavu na lofa mkubwa wewe. Huyo Kubenea atakula uongo na matusi yake. Bahati yake Makonda ni mstaarabu na mwenye huruma sana, huyo mbunge alitakiwa ale kipondo cha haja kabla ya kuswekwa upango

Hizo sheria za kujichukulia mikononi umeziiba wapi. Ale kipondo? kwani ameua? Ndio ubabe wa ccm huu ambao kila cku tunaulalamikia mnapenda watu wapate kipondo tu ndio maana mkwere kaifilisi nchi kutuletea magari ya kijeshi ili wananchi wale kipondo.lkn imekula kwake.
 
Kwan kibaka ni tusi? Angemuita kile kiungo kilichopewa jina la mgombea ubunge wa ccm ubungo ingekuwaje? Si angesema police wamwangose kabisa
Mbona hawajaongelewa matusi ya mwenzao?!! Je? Ni halali kumuita mwenzio kibaka???
 
Ni ajabu kabisa eti Mbunge anaruhusiwa kutukana , tusizidishe mahaba kwa kila jambo.

Hivi kama wananchi wamekuita uje uwasaidie kuongea na mwajiri wso ili wapate ufumbuzi wa mishahara yao.Dc anakuja mbio mbunge anamkaribisha kumweliza kilichotokea.Dc anamaliza kuongea bila kumpa mbunge nafasi nae amalizie kwa kufunga .wewe Dc tukuiteje kama si kibaka uliekuja ukakuta mazungumzo unafunga mkutano bila utaratibu?
 
Wewe ndiyo ----- na mpuuzi mkubwa!
Hivi unajua kwamba Paulo Makonda alipewa U-Dc kama zawadi baada ya kumpiga na kumdhalilixha Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji na PM mstahafu Joseph Sinde Warioba?
Huyu jamaa amezoea vya kunyonga anafikiri kupata au kupanda cheo ni kwa kupiga wazee na Waasisi wa nji hii au kuwakomoa Wapinzani ili aonekana anachapa Kazi ya Magufuli!
This time atakuwa ame-bugi men!Kama alifikiri Saed Kubenea ni Warioba basi asubiri muziki monene!
PAULO MAKONDA ni Jipu tena la kwene makalio na lazima litumbuliwe tu!
Hapa tatizo litakalosumbua mahakamani ni neno "kibaka" kama ni tusi au sio tusi. Kama kamusi ya kiswahili sanifu haina maana ya hilo neno kama tusi au matusi,hapo ndipo watetezi wa mkuu wa wilaya watajua kama mchicha ni mboga au chachandu.

Kati ya Makonda ni nani mstaarabu na nani Kibaka?
ukibaka ni wa kuzaliwa nao tena mtu mzima hovyo wa mipasho huonekana popote
acheni siku zitahesabu na jb litapatikana

IMG-20151214-WA0051.jpg
 
Back
Top Bottom