Maoni ya wanasheria kuhusu tukio la Makonda

Maoni ya wanasheria kuhusu tukio la Makonda

Naona Tundu Lissu na wenzake wana wadanganya...! Matusi ya kubenea yalikuwa yanataka kuhatarisha amani na kuleta vurugu hivyo Paul Makonda alitumia busara ya hali ya juu kumuweka ndani(kumpumzisha) hata Lissu akileta ngebe atapumzishwa..!

Kubenea anapaswa kufunzwa jinsi ya kufanya kazi na serikali na kujua mipaka yake....

Sijawahi kuona mhaya mseng.e maji kama wewe.
 
Last edited by a moderator:
Mwanasehria Mkuu wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Tundu Lissu, alisema mkuu wa wilaya
ana mamlaka ya kuamuru mtu
aliyefanyakosa mahali ambako hakuna
polisi akamatwe.

Swali: Kama hakuna polisi anaamrisha akamatwe na nani? Raia au mgambo? Hizi sheria na wana sheria KIZUNGUZUNGU TUPU
 
mbona kama haya maoni yote yametolewa na wanasheria wenye itikadi za vyama pinzani? mmpata na maoni ya wanasheria wa chama tawala na wasio na vyama?

...hivi wanasheria wa ccm ndio kina nani? au ndio wale wasiojua hata kuandaa hati za mashtaka?!
 
TUNDU LISSU

Mwanasehria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, alisema mkuu wa wilaya ana mamlaka ya kuamuru mtu aliyefanyakosa mahali ambako hakuna polisi akamatwe.

Kama kuna polisi kwenye eneo la kosa hayo mamlaka hawezi kuwa nayo, na kama akitoa amri hiyo atakuwa anawajibika kutoa maelezo na sababu za kumkamata mtu huyo kwa hakimu wa wilaya.

"Alichokifanya DC wa Kinondoni ni uvunjaji wa sheria na tutamshughulikia hadi ataikimbia hiyo wilaya," alisema Lissu.

KIBATALA

Akizungumzia kuhusu mamlaka ya mkuu wa wilaya kutoa amri ya kukamatwa mbunge, mwanasheria Peter Kibatala alisema amefurahi kutokea kwa kesi hiyo na anaomba suala hilo kwenda mahakamani kama shtaka la jinai.

Alisema kesi hiyo itasaidia kuhoji mamlaka ya mkuu wa wilaya na namna ambavyo anayatekeleza.

"Vyovyote iwavyo lazima tuhakikishe tunawasilisha malalamiko kwa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ili kupata uamuzi wa nini hasa mipaka kati ya serikali na maafisa wake na wabunge hasa wa upinzani," alisema Kibatala.

FREDERICK KIHWELO

Kwa upande wake mwanasheria wa mbunge huyo, Frederick Kihwelo alisema jambo la msingi katika suala hilo ni kuhakikisha cheo hicho kinaondolewa ili kiweze kuwaacha polisi wafanye kazi zao kwa uhuru.

"Inasikitisha kuona mkuu wa wilaya ni kada wa CCM, mjumbe wa siasa wa wilaya wa CCM na ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hivyo ni bosi wa OCD na ofisa usalama wa wilaya," alisema.

Aliwataka wale waliopewa mamlaka hayo kuhakikisha wanatumia mamlaka hayo kwa busara badala ya kutumia nguvu na jeuri.

sasa wanaemtetea kubenea ndio walewale unaleta maelezo yao
 
Mbona hawajaongelewa matusi ya mwenzao?!! Je? Ni halali kumuita mwenzio kibaka???
Kama jina "KIBAKA" ni tusi basi hata viongozi wakubwa wakubwa tu wajeshi la polisi wasingekuwa wanalitamka kwenye vyombo vya habari hususani KWENYE MA TV!!
 
Muweka Mada hao ulotuwekea ni wanasheria au Wanachama/Viongozi wa Chadema?? Ulitegemea waongeelee vipi hiyo issue? kama issue imeshafika Mahakamani hayo maelezo wakaaeleze huko, Mahakama ndo itasema nani amekosea, Naona wote wameongelea Kubenea kuwekwa ndani hawajagusia Kubenea kutoa kauli chafu kwa kiongozi wa Serikali mbele ya Wananchi anapaswa kuchukuliwa hatua gani??
 
Usikute hajui hata majukumu ya mkuu wa wilaya, sasa hivi atakuwa anapekuwa vitabu na kujaribu tizama vipengere vitakavyo mlinda
 
Kwa nn umwite mkuu wa wilaya kibaka?

Mkuu, na wale waandishi alioamuru wanyang'anywe kamera zao walikuwa wamemuita kibaka? Hapa kuna tatizo kubwa kuliko hayo mambo ya kuitana vibaka nk. Kama taifa tunataka kwenda kwa mtindo huu, kwamba hatuoni tatizo lolote... Tutakuwa taifa la ajabu kweli.
 
Makondo anastahili kabisa kuambiwa ni mhuni na kibaka ni laana ya Warioba na chozi la la yule mzee bado kidogo atavua nguo aokote makopo huwezi piga mtu mzee kama yule mbele ya kadamnasi ushindwe kuomba samahani kwa jamii ubaki salama hili la kubenea litasababisha mahakama iwafunge minyororo kama ilivyotokea kwa polisi mkumbo Mwanza
 
Naona hili swala watu mnalipeleka ki Unyumbu
Wacha kubenea apate moto
 
Nawe juha kabisa sasa hap wote ni wana cdm we unafikili watasema makonda yupp sahii? Acha unafiki wewe leta maoni ya pande zote mbili
 
Muweka Mada hao ulotuwekea ni wanasheria au Wanachama/Viongozi wa Chadema?? Ulitegemea waongeelee vipi hiyo issue? kama issue imeshafika Mahakamani hayo maelezo wakaaeleze huko, Mahakama ndo itasema nani amekosea, Naona wote wameongelea Kubenea kuwekwa ndani hawajagusia Kubenea kutoa kauli chafu kwa kiongozi wa Serikali mbele ya Wananchi anapaswa kuchukuliwa hatua gani??

Hii habari ilitakiwa iwekwe chademablogspot.com
 
Sijui sheria za tanzania lakini nchi nyingine ilitakiwa DC Makonda kuriport abuse kituo cha police baada ya hapo police watahamua kuchukua uwamuzi kutokana na uzito wa kosa.
 
Nyau wewe, mbunge na mkuu wa wilaya, wajua tofauti zao kimamlaka?? Mpumbavu na lofa mkubwa wewe. Huyo Kubenea atakula uongo na matusi yake. Bahati yake Makonda ni mstaarabu na mwenye huruma sana, huyo mbunge alitakiwa ale kipondo cha haja kabla ya kuswekwa upango

ni kitendo cha muda, Huyo Mumeo atajutia kiburi chake!!
 
Kubenea-3.jpg

Hivi Kinondoni ina Mbunge mmoja kweli?
Kama wapo wengi mbona Kubenea kila ugomvi ni yeye na Makonda tangu ule wa kuwaweka Maafisa Ardhi ndani, Kubenea alibeza, Hapo inaonesha jinsi Kubenea alivyo mtu wa Mipasho na kujitwika misifa ya kijinga ambapo ni mbio za sakafuni kushindana na Dola
Kubenea-11.jpg
 
issue haikuwa kutunishiana misuli issue ni kutatua tatizo la watanzania wenzetu ambao bado wapo kwenye kundi la kunyonywa na wageni wao,makonda yeye anakula bata na chama chake sasa anataka kubenea aonekane hana msaada kwa wapiga kura wake
alichozungumza waziri kairuki nimefurahia mwekezaji akubali kuongeza mshahara au kufunga kiwanda
 
Back
Top Bottom