Maoni ya JK juu ya Katiba Mpya

Hebu muacheni bwana.kwani kabla ya hapo si alikuwa waziri wa mambo ya nje?
 
Huyu bwana anasafiri sana kwa sababu sio mnywaji. Angekuwa anapiga Safari lager wala asingekuwa anamaliza pesa zetu kwa safari za ughaibuni zisizokuwa na tija


Mi nadhani tatizo ni ile ndege aliyoinunua Mkapa,isingekuwepo sidhani kama angekuwa anasafiki kiasi hicho...
 
hayo ni maoni ya kipanya sio jk yeye na dr bado hawajazungumza chochote
 
Teh teh teh!Vasco Da Gama anachekesha kweli kweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…