Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,010
- 46,468
Kibo10
Unashangaa wagombea kuwa wengi huko ni kukuwa kwa demokrasia ndiyo ujue hamna mtu aliyeandaliwa ni demokrasia inafanya kazi.
Vipi Chadema hamna watia nia kuna mgombea urais wa kudumu Dr.Slaa ni marufuku kumpiga.
Vipi na wewe unagombea wapi maana Same wanataka Mpare sijui itakuaje.

Last edited by a moderator: