FighterOne
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 313
- 277
Anataja CV na haiweki wazi kusifia sifia halafu mwishoni anaweka wazi kwamba hajapenda AG atokee kanda ya ziwa[emoji16][emoji16][emoji16]. Kuwa muwazi acha unafiki we mwandishi
Umenikumbusha comedy moja ya comedian wa Muganda anayetumia jina la Teacher Mpamire. Alisema kwenye comedy yake moja "Rais Museveni ndiye Rais mwenye wahauri wengi zaidi duniani, akiwa na wahauri 114 ambao kati yao wengine hajawahi kutana nao kabisa, na hata aliokutana nao badala ya wao kumshauri, yeye (Rais Museveni) ndiye anayewashauri.Ni vigumu sana kufanya kazi na kufanikiwa chini ya bosi kigeu geu na asiyejua anachokitaka huku yeye akiwa ndie muelekezi na mshauri wa taalum uliyoisomea
jamaa hana flow ya mada kadanda hapa karuke kabla kabls ya kuunganisha mifano.visa na matukio havijapangika.
Hakuna raisi baada ya Nyerere ambae yupo 'consistent' kama Magufuli hasa anapolenga kutekeleza jambo au adhima yake.Ni vigumu sana kufanya kazi na kufanikiwa chini ya bosi kigeu geu na asiyejua anachokitaka huku yeye akiwa ndie muelekezi na mshauri wa taalum uliyoisomea
Hakuna raisi baada ya Nyerere ambae yupo 'consistance' kama Magufuli hasa anapolenga kutekeleza jambo au adhima yake.
Wakati lundo la uteuzi jingi likiwa toka kanda ile tulikua kimya na ilikua shwari sio!Ujumbe muhimu katika mada hii ni kuwa na huyu naye ni kutoka Kanda ya Ziwa.
Endelea kukata tamaaMnazungumzia ulinzi wa rasilimali!
Kuna mtu yeyote anaweza kusimama na kuongea kwa vielelezo ni kwa namna gani rasilimali zetu katika awamu hii zimeweza kuwasaidia watanzania? Tulieni, siku si nyingi mtasikia ambayo hayakutegemewa. Barrick/Acacia hawatalipa hata dola 1 katika zile million 300. Lakini serikali itafurahia angalao kupata dola bilioni 1.5, ile ambayo Zito alisema tungekuwa na subira tungeipata mwanzoni mwa mwakajana.
Kwa kuwa tuna shida sana na fedha, tutasahau yote, pamoja na ile milioni 300 maana angalao itatuondoa kutoka kwenye ile kadhia ya mkopo wa Barclays kwaajili ya ujenzi wa reli.
Uchumi na biashara ni sayansi. Kundi la wataalam 24 toka Barrick Vs kundi la watu 8 (japo Kabudi alijisifu), haikuwa bure, walijua wanachofanya ili kufika walipopataka. Watanzania wakajisifu tena kwa kusema wao walikuwa 24, sisi tulikuwa 8 tu lakini tukafanikiwa. Kuishinda team ile ya watu 24 ilihitaji upeo mpana zaidi kuliko ule wa watu 8.
Nikusaidie kwa usichokijua kuhusu mnyama nyumbu. Huyu ana tabia ya kujichanganya vizuri na wanyama wengi wengine kasoro wale wawalao ambao ni wachache kwa idadi!Mawazo ya nyumbu hayo
Mkuu pokea like, umemaliza kabisa kwa kueleza tatizo liliko. Jamaa anataka ufanye anayotaka, na ukifeli kwa sababu ya maelekezo yake analaumu na kutumbua.