deogan
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 399
- 46
wadau habari zenu?
nina mpango wa kuanzisha upya site kwa ajili ya electronics na tech, before nilikuwa nimebase sana kwenye upande wa simu hasa za android, ila now nataka ku take cover ya mambo mengi zaidi.
ninaomba mchango wenu na ideas on what mngependelea zaidi kupatikana katika site hiyo.
kwa sasa, the main issues zitakuwa news, tips, price listings, na listing ya reliable locations to buy specific products.
visit http://www.bongoelectronics.com then toa feedback.
thank you....