Maoni na ushauri wenu vitanisaidia katika hili

Kacheki kwanza afya, alafu km kawa mpe test validity,
na hakikisha unamkoleza vya kutosha manake usijeukafikiri we ndo wa kwanza kumpa alishaonja kibao hapo anakompea tu,
ukiona anataka tena siku ingine jua kanogewa, ukiona hakuombi tena JIPANGE mama cd hajauza.
 
Nina mchumba ambaye tunamuda mrefu kidogo kwa sasa, mwanzo tulipokutana tukawa tunawasiliana kama marafiki wa kawaida lakini cku moja akanitamkia kuwa ananipenda na anataka tuwe wachumba ambao hatima
yetu kujakuwa mume na mke, nami kwakuwa
sikua na mtu mwingine nikamkubalia lakini
nikamwambiwa anichunguze kwa muda nami
ntafanya hivyo kwa upande wake.


Nikawa mkweli kwake nakumpa background yangu naye akakubali kilichoniboa kwake wakati tunaendelea kuchunguzana akanipigia sim nakusema nanukuu "mpenzi wangu nakupenda sana ili nisikusaliti naomba unipe penzi lako, amini kuwa mimi ndiye mumeo mtarajiwa" naomba ushari na maoni yenu wana JF.


Chances za kukusaliti baada ya hapo ni kubwa,hivyo wewe mwenyewe pima kama uko tayari kurisk na kupokea matokeo yoyote yatakayofuata.
 
Naungana wa wajumbe walio pita. Hivi dada Rehema hata ukienda kununua simu dukani lazima uangaliea aina gani simu huwezi ambiwa nunua simu umeina kwa nje ndani hujaiona kama hakuna betri utafanyaje wakati umeshanunua? Sio kwakwe tu hata kwako unaweza kuolewa bila ku do ukisha ingia ndani unaanza kukumbuka zilipendwa. Wewe unataka ndoa ya mwaka arobaini saba kuipata utakesha best. Akili kichwani mwako
 
Back
Top Bottom