Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,128
- Thread starter
-
- #161
Serikali imfikirie Huyu mtu Ajira zijazo za ualimu. Yale maombi yake yakumbukwe... Maana Kila inapofika tarehe hizi hupata tatizo.. tarajio lake ilikuwa tarehe hizi nae awe kwenye foleni nje ya ATM... Lakini imekuwa kinyume. Okoeni maisha ya Huyu mhanga !!Wanajamii Naomba muweke wazi namuwaambie Kwa staha kabisa hawa kipi haswa wafanye ili bajeti Yao ya maisha iendane na mshahara wao maana Leo wakipata hesabu siku Sita mbele utakuta wamebaki na maboringo tu hawana hata sumuni
Afu huku niwachache ngoja nitengeneze account insta iitwe mpwayungu villageMkuu fungua chuo Cha kuwa elimisha hao mabumunda.. Humu jukwaani hawaingii wotee...[emoji1]
Hawataki kunisikiliza eti [emoji23][emoji23][emoji23]Mpwayungu Ana kitu asikilizwe
Alipe riba la Deni la mtaani, na apunguze mziziWanajamii Naomba muweke wazi namuwaambie Kwa staha kabisa hawa mabumunda kipi haswa wafanye ili bajeti Yao ya maisha iendane na mshahara wao maana Leo wakipata hesabu siku Sita mbele utakuta wamebaki na maboringo tu hawana hata sumuni
Yani kama mapaka vile dah[emoji23][emoji23][emoji23]
Na tiktokAfu huku niwachache ngoja nitengeneze account insta iitwe mpwayungu village
Sio walimu ninaowajua mimi
Waambie walimu sio mmDalili mbaya mwanaume kufuatilia maisha ya watu.
Sijui huyu mtu anashida ganiDalili mbaya mwanaume kufuatilia maisha ya watu.
Wanatia kizibeMungu anakuona ujuee..kwa huu uzalilishaji wako kwa walimu..hata wakiwahi huko Atm wewe inakuhusu nini?...Inashangaza mnoo