Futureless manMwl hafurahii maisha ktk haya.
1.hali vizuri, wengi Wana malnutrition
2.hawavai vizuri, wengi nanavaa second hand clothes grade c sio A
3.usafiri wanatumia miguu, Kuna kipindi nlikua geita napiga kazi kwa roli moja ya kumbeba maknikia tunatoa shenda na mwabomba via masumbwe mpaka ushirombo. Walimu wakitupiga mkono tunakalisha juu ya kifusi nyuma tunabwaga mmoja mmoja njiani
4.hawali Bata classic. Starehe zao ni vilabu vya pombe chafu chafu na akionekana baa ni Mara moja sana tena kwa offer
5.hawana furaha na ndoa zao. Wengi hawaoa piss Kali Wana wanawake ilimradi tu anakojoa amechichumaa maana wengi wanawapata vilabu vya pombe. Ni ngumu kumkuta ticha wa kike kaolewa na mwl now days
6.biashara zao nazo ni za kuunga unga tu utaikuta mwl anafuga kuku hata 30 hawafiki na hawana matunzo wanaugua ugua na afya hawana Kama mwl mwenyewe
humu ndani watu wana uongo aiseUnataka umle mwalimu aliyeshindwa kulipa mtungi wa gesi
Masikini akipata.....Dunia ya sasa tofauti na zamani wenye pesa kama sisi ni kubadilisha location tu, Jumatatu mpaka Jumatatu ukitoka kitambaa Cheupe Jumanne tunaenda Small Planet, Jumatano Wavuvi camp, Alhamis Liquid bar, Ijumaa tunaruka Maasai, Jumamosi tunarudi Kisuma afu Jumapili tunapaa Beach Kidimbwi kutumia pesa
Lakin walimu wanabaki kunywa balimi na double Kiki tu, ananuka vumbi la chaki suruali imepauka shati halijulikani ni jekundu au lapink. Wapo wapo tu kazi yao kukopa sukari na dagaa kwenye viduka vya mangi. Utakuta wamevaa viatu vya four angle vya buku tatu tatu. Hawana jipya hawa sijui wana faida gani

Ungejinyamazia tuMbinu unayotumia ni ya kuwajaza walimu waichukie serikali lakini kwa taarifa Yako no walimu wachache sana wako jf na wote waliomo humu hawana niaa hivyo tafuta namna nyingine ya kuwafikia walimu wanaofanana na Hali ngumu unazozitangaza ili waichukie CCM.Humu sio mahali pake.Labda kama unataka kufurahisha genge la vijana na wazee wa mjini.
Kuna mwalimu alimkula demu wake.Walimu walikukosea nini mkuu?
We jamaa kiboko[emoji1]Mwalimu gani anywe bilima kwa mshahara upi? Ukiona mwalimu kashikilia chupa kubwa ya maji ujue katoka semina, 90% ya waalimu wana mikopo ya kauusha damu au ya benki mwalimu mpaka anasitaafu hajawahi kupokea mshahara wake kamiri.........
Umemaliza madam, hongera sanaUmesema ukweli, nyumba za walimu zinavuja kweli kweli, nyingi ni Kongwe na hazina ratiba ya ukarabati.
Wanaishi Kama kuku na mvua hizi.
Chizi weweMbinu unayotumia ni ya kuwajaza walimu waichukie serikali lakini kwa taarifa Yako no walimu wachache sana wako jf na wote waliomo humu hawana niaa hivyo tafuta namna nyingine ya kuwafikia walimu wanaofanana na Hali ngumu unazozitangaza ili waichukie CCM.Humu sio mahali pake.Labda kama unataka kufurahisha genge la vijana na wazee wa mjini.
Hajui kitu huyo bwege achana naeBasi mkamateni mumuulize shida ni nini
HhhahahaMwalimu wa kike halafu single....
Jana nimeandika uzi wa kukusagia kunguni ilo mod wakufute sema umetia huruma huo PM zao wakaufuta. Kmmqe zako kutukana waalimu. Wazazo wetu no waalimu na wana maisha mazuri tu kenge wewe. Na tecno yako ilopasuka kiooSerikali waoneeni huruma walimu wanaishi kwa mateso sana, na hizi mvua nyumba zao zinajaa Maji maana zishachoka zinavuja tu, nyumba mbovu kama mabanda ya nguruwe.
Kuna mwalimu nimempa hifadhi kwangu akae Kwa mda maana nyumba zao zinavuja sana, naongea nyumba za serikali ambazo walimu wanakaa. Walimu kwenye hii nchi ni jehanamu tosha.
Chiz fresh wewe, tahila mkubwa weJana nimeandika uzi wa kukusagia kunguni ilo mod wakufute sema umetia huruma huo PM zao wakaufuta. Kmmqe zako kutukana waalimu. Wazazo wetu no waalimu na wana maisha mazuri tu kenge wewe. Na tecno yako ilopasuka kioo
Tahila ni mtu anaechukia watu ambao hawana kosa kwake unakazwa sio bure kwanza usha left kiumeni si mteja wa machoko pitisha nyaa zako mbali. Mavi tupuChiz fresh wewe, tahila mkubwa we
Kwenye tembe .Wagogo wenzio ombaomba hulala wapi kipindi hiki chanmvua!?
Asiye na akili ni mama yako aliyekutoa kwenye nanihiiii...Nazungumzia za walimu bata nyie hamna akili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama kuna shahada ya dharau wewe wakupatie aise
Oya [emoji23]Mwl hafurahii maisha ktk haya.