Wasamehe mkuu haya maisha tu, bora hao walimu kuliko sisi tusioijua kesho yetu.Dunia ya sasa tofauti na zamani wenye pesa kama sisi ni kubadilisha location tu, Jumatatu mpaka Jumatatu ukitoka kitambaa Cheupe Jumanne tunaenda Small Planet, Jumatano Wavuvi camp, Alhamis Liquid bar, Ijumaa tunaruka Maasai, Jumamosi tunarudi Kisuma afu Jumapili tunapaa Beach Kidimbwi kutumia pesa
Lakin walimu wanabaki kunywa balimi na double Kiki tu, ananuka vumbi la chaki suruali imepauka shati halijulikani ni jekundu au lapink. Wapo wapo tu kazi yao kukopa sukari na dagaa kwenye viduka vya mangi. Utakuta wamevaa viatu vya four angle vya buku tatu tatu. Hawana jipya hawa sijui wana faida gani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣waacheni walimu ni watu muhimu sana hapa nchini.Dunia ya sasa tofauti na zamani wenye pesa kama sisi ni kubadilisha location tu, Jumatatu mpaka Jumatatu ukitoka kitambaa Cheupe Jumanne tunaenda Small Planet, Jumatano Wavuvi camp, Alhamis Liquid bar, Ijumaa tunaruka Maasai, Jumamosi tunarudi Kisuma afu Jumapili tunapaa Beach Kidimbwi kutumia pesa
Lakin walimu wanabaki kunywa balimi na double Kiki tu, ananuka vumbi la chaki suruali imepauka shati halijulikani ni jekundu au lapink. Wapo wapo tu kazi yao kukopa sukari na dagaa kwenye viduka vya mangi. Utakuta wamevaa viatu vya four angle vya buku tatu tatu. Hawana jipya hawa sijui wana faida gani
Wacha kutetea ujinga we gweedoKausha damu inawadrive crazy
Awasamehe malecturer au waalimu? Yeye alikuwa hasomi anapiga gambe liquid bar akadiscoWasamehe mkuu haya maisha tu, bora hao walimu kuliko sisi tusioijua kesho yetu.
pole teacher bana,Wacha kutetea ujinga we gweedo
Am 80 %mpywaungu Hana pesa za kuzunguka bar zote hzo jmaa huyu Ni mwalimu anakwera na ualimuMtoto wa kiume unazurura sehemu za starehe kiasi hicho, au ndio ofisi zenyewe nini?
Kilichobaki hapo mvue tu pichu ule nyamaIla kwa Kweli serekali Sasa iangalie maslai la Hili kundi
Nimemkopesha mwalimu mtungi wa guess toka mwez wa nane Hadi leo ameshindwa kunilipa Sasa nazaka papuchi yake tu
Hakika.Kwenye nyuzi kama hizi ndipo utawajua walimu walioko JF [emoji3][emoji28]
Mafuta ya taa yagimwagwa shimoni tu faster hao wanaanza kujitokeza [emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe sio Mwalimu, walimu wenye degree wanaanza na 822,000kMimi ni mwalimu nakiri kuna muda Mpwayungu Village ana uwasilishaji mbaya wa kuwakera watu
Ila twende mbele turudi nyuma UALIMU sio kazi, tunafanya kwa ajili ya dhiki tu
Anachosema ni ukweli kabisa, tujitafute ualimu sio kazi
Yaani mtu usome hadi degree halafu unakutana na gross salary ya 700,000 ukikatwa makato yote unapata 450,000
H
Hoja yako ni dhaifu, ungesema mfanya usafi wa BOT, NSSF ningekuelewa wafanyakazi wa bank wana hela gani? Wale ni wahesabu Hela maisha Yao ni ya kawaida tu, advantage Yao nasikia mikopo Yao Haina ribaKweli kiongozi, lakini kumbuka walimu 95% wapo kwenye comfort zone, yaani kazi yenyewe inakufanya uwe katika mazingira ya kukufanya ushindwe kufikiria na kufanya mambo makubwa /mabadiliko
Yaani ukiwa katika mazingira ya ualimu/shule hata ufikikiriaji kuhusu maisha yako/hatma au future yako inakuwa limited (job induced comfort zone) kitu ambacho ni ngumu kutoboa
Yaani watu wanaokuzunguka wanaimpact kubwa katika mabadiliko yako
Mtu akiwa mfanya usafi wa benki akawa analipwa 500k ana uwezo wa kumuacha mbali mwalimu kimaendeleo sababu watu anaofanya nao kazi ni somo tosha katika maisha yake (mabadiliko)
Watu na mazingira unayofanywa kazi ni stimulants katika kukufanya udumae au ukue kifikra na maendeleo kwa ujumla
Hasa ukizingatia walimu 98% wametoka katika familia ambazo ni za kimaskini (family induced comfort zone)
NB: Kuna wachache wanatoka katika comfort zone japo ni walimu
Ni 719000 take homeWewe sio Mwalimu, walimu wenye degree wanaanza na 822,000k
Na kuna watu wa kozi zingine wanakimbilia kusomea UalimuMiongoni mwa jambo linaloonesha walimu hawaupendi ualimu,
Kumekuwa na wimbi kubwa la walimu kuukimbia ualimu na kwenda kusomea kazi nyingine kama sekta ya afya, uchumi, kilimo nk
Lakini huwezi kukuta mtu atoke sekta ya afya, kilimo nk kisa akasomee ualimu
Nioneshe mtu aliyehama kazi sekta nyingine kisha akahamia sekta ya elimu halafu nitakuonesha mwalimu wa serikali anayelipwa milioni 10[emoji23][emoji23]
Hapana wanaanza na 822,000/= hiyo ni basi take home inategemea kama alipata mkopo heselb anachukua 550,000/= Ila kama alikua Hana mkopo heselb anachukua 694,000/=Ni 719000 take home
Mbona ni pesa nzuri tuu kama ni mtu wa budget na usiependa show off unatoboaHapana wanaanza na 822,000/= hiyo ni basi take home inategemea kama alipata mkopo heselb anachukua 550,000/= Ila kama alikua Hana mkopo heselb anachukua 694,000/=
Ndio hivyo SEMA hakuna posho Lakini ni pesa ya kawaida inayomtosha mtu kulaMbona ni pesa nzuri tuu kama ni mtu wa budget na usiependa show off unatoboa
Pole sana mwalimuHuyo bwana alidisco DUCE maana sampuli hizo ndo huwa na hasira na ualimu..