Mkuu mind set ya wajasiriamali wengi ni kuingia katika utafutaji ili kujiongezea kipato cha matumizi ambayo wengi wanaona ni ya lazima.
Sasa kwa wanawake wengi wa uswahilini mjini Dar es Salaam suala la kuatendi shughuli au kumtunza shosti au kumfanyia ka party mtoto ametimiza siku 40 kwao ni tumizi la lazima, mpaka siku mentality yao itakapobadilika na kujua kuwa lengo la ujasiriamali sio kukidhi matumizi ya lazima ila ni kujikwamua kiuchumi, hapo ndipo watabadilika.
Tatizo liko kwenye msingi(mind setup ya kwa nini unatafuta), sio kuta(namna ya kuzitumia ukishazipata)