Trab na Trat
Member
- Sep 30, 2022
- 34
- 74
Mwana kwaya.UliIzini na muumini ama kiongozi
Kuna siku baada ya ibada nilikushauri ubadili jina la kanisa maana jina lasasa lina shida na nikakwambia maneno yanaumba ila ukaniambia jina liko sawasawa na huna mpango wa kubadili. Tangu sikuile sikuja wala hatujaonana.
Iko hivi, wewe mwenyewe umewaambia waumini wako (pamoja na katibu) kuwa wa feel free yaani wajisikie huru na hujasema wajisikie huru kwenye nini, matokeo yake watu wakajisikia huru kufanya mambo haya;
1. Kula vitu vitakatifu.
2. Kuvaa kama wanavyo jisikia.
3. Kuzini hovyo, mimi pia nilizini na mtu hapo.
5. Katibu akapita na watu fulani fulani hapo.
Nakuhakikishia usipo badili hilo jina utachapiwa kila kitu.
Lile siyo kanisa, ni kijiwe, nilimwambia akanuna.Mambo ya ajabu kabisa unatangaza dhambi uliyotenda kanisani unaona upo sawa na kuweza kumshauri mwingine...yaani kufanya kosa katika imani unaona sawa kabisa..
😂 KweliNi kweli chief
Jina lina tabia ya kufuata nuksi, balaa na mikosi pia
swala lililotkea kwa masanja dhidi ya katibu wake na mkewe hilo jukum ni lake yeye mwenyew ndoa nadhan n swala la watu wawili.Kuna siku baada ya ibada nilikushauri ubadili jina la kanisa maana jina lasasa lina shida na nikakwambia maneno yanaumba ila ukaniambia jina liko sawasawa na huna mpango wa kubadili. Tangu sikuile sikuja wala hatujaonana.
Iko hivi, wewe mwenyewe umewaambia waumini wako (pamoja na katibu) kuwa wa feel free yaani wajisikie huru na hujasema wajisikie huru kwenye nini, matokeo yake watu wakajisikia huru kufanya mambo haya;
1. Kula vitu vitakatifu.
2. Kuvaa kama wanavyo jisikia.
3. Kuzini hovyo, mimi pia nilizini na mtu hapo.
5. Katibu akapita na watu fulani fulani hapo.
Nakuhakikishia usipo badili hilo jina utachapiwa kila kitu.
Ujengewe sanamu pale Chamwino.Hahahaha wanawake waruhusiwe kuwa na mume zaidi ya mmoja
ushuhudaaaaaMambo ya ajabu kabisa unatangaza dhambi uliyotenda kanisani unaona upo sawa na kuweza kumshauri mwingine...yaani kufanya kosa katika imani unaona sawa kabisa..
Hivi lile kanisa kijiwe ndiyo lile liko nyuma ya leaders club auLile siyo kanisa, ni kijiwe, nilimwambia akanuna.
Nimejithidi kutafsiri hii picha nimeshindwa mkuu....msaada tafadhali!
Ah kweli kupigiwa kupo sana...Tumuombee Masanja, kwa sasa akili yake haijatulia
kuchapiwa ni siri ya ndaniAh kweli kupigiwa kupo sana...
Hata uwe nani
Ova