Maoni kutoka kijiwe cha msafisha viatu: Watanzania wengi hawapendi Mabadiliko, wanangoja Magufuli aondoke

Nimeku quote.....

"Mwenye duka analipa kodi lukuki
1)kodi ya mapato,
2)leseni ya biashara,
3)huduma ya jiji (service leavy)
4)mkataba wa frem au stoo nao unalipiwa kodi.
5)fire extingisher
6)huduma za taka
7)kodi ya frem na stoo kama anayo
Mmachinga hapo analipa elfu 20 kamaliza kazi"

Umepiga Sana spana
 
kazi ya Rais sio mawasiliano bali ni kutoa maagizo na labda kukusaidia tu mfano mdogo uelewe na ndio maana ikawepo idara ya mawasiliano Ikulu, nadhani unamfahamu Gerson Msigwa huyo ndio kazi yake hiyo Mawasiliano, ila Rais yeyote duniani majukumu yake ni kutoa maagizo tu.

Katafute kamusi ujifunze kwanza maana ya neno "mawasiliano" halafu tafuta neno "maagizo" itakusaidia Sana kwa mjadala huu badala ya kutumia maana "unayofikiri" ni "sahihi".

Sasa kwakua hujui maana ya neno mawasiliano ukaibua hoja nyingine kabisa "hotuba" bila kujua kuwa kuna tofauti Kati ya neno "mawasiliano" "hotuba" na "maagizo".

We mzee unazeeka vibaya.
 
Mliongelea swala la wingi wa ajira uliopo nchini Na madarasa ya kutosha kwa wanafunzi wetu?mngeyachomekea Na hayo ili kujazia nyama.Raisi kaleta maendeleo ya kweli,kongole kwake
 
Kivipi mkuu
 
Mfumo ni watu. Ukiona huo mfumo bado upo fahamu fika bado majority wana u support.
 
Alieharibu nchi kwa 80%ni mkapa huo ndio ukweli usiosemwa na wengi.
Hakuna cha Mkapa wala cha Magufuli wala nani... wananchi wenyewe ndio tulivyo... kila nchi ina aina fulani fulani ya watu, na kwetu wananchi ndio walivyo, watapelekwa kila direction na viongozi kwa sababu viongozi wanajua kila kukicha wananchi walivyo... PERIOD!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakipaji cha kuandika hadithi. Kama ulikuanunajaribu hapa endelea ila mahali ulipojaribia sio sahihi. Hapa ni mahali pa kuamsha tathmini za matukio ya kisiasa na maoni sio pa kuweka hadithi.
 
"....viongozi wengi hawana nia ya kweli ya kumsaidia huyu mzee. Wao wanangojea aondoke kwa matarajio kwamba raisi ajae atakuwa si kama huyu mwamba"
Wanawake wa Israaeli msinililie mimi bali jililieni nafsi zenu,alisikika Yesu Msalabani.
 
MKULUNGWA HUU NI UPUUZI WA KIWANGO CHA SGR ,hamna ulichoandika! Ni chenga kwa kwenda mbele! πŸ€¨πŸ€¨πŸ€¨πŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
 
Kwanza kabisa, mawasiliano ni nini?
 
Ana amini Sana kwenye kukusanya zaidi Kodi na kutegemea mikopo kuliko kuchochea uzalishaji Ili export ikue Kisha ndo ufanye miradi.
Amegusa maslai ya wachache na sio ya wengi
 
Nikajaribu kuoanisha miaka yake 10 na miaka 10 ijayo na JPM nikasema kimoyomoyo heru fikiria tungekuwa na miaka 20 ya "Hapa Kazi Tu" ingekuwaje?
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
Point yako ipo hapa tu
 
We'll always settle for less,na watawala wetu wanaijua hilo,mtu anaehisiwa kutesa watu kwanini asishtakiwe na sio kuvuliwa cheo tu..hapo ndo nnapohisi chupa mpya tumepewa lakini ina mvinyo ni wa zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…