Kuna thread nimesoma hapa JF nimebaki kucheka sana.
Ilikua kuhusu ubora wa elimu Tanzania mathalani elimu ya juu.
Mimi nimesoma sua degree ya Kwanza, Boston USA degree ya pili na sasa nasoma PhD China (China agricultural university).
Katika michango mingi niliyosoma reality ni ndogo kuhusu elimu zetu hapa Bongo.Lugha ya kimombo sio kitu mpaka sasa mm English inanipiga chenga nasimamia kwenye point tu.Kwenye masters nilikua best student na English ya kuungaunga.
Mwisho
Watanzania hatujikubali.