MAONI: Gerald Hando, George Bantu na Gardner G Habash, ndani ya Jahazi!!!

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
997
828
Kwa maoni yangu, najua muda sio mrefu Jahazi litang'oa Nanga, napendekeza aongezwe Mtaalamu, Mbobevu, Nguli katika tasnia hiyo na mwenye mbwembwe katika kutumia kipaza, sio mwingine ni miongoni mwa Watangazaji 10 waanzilishi wa Clouds Fm, kama ambavyo amesema MD Joseph Kusaga nampendekeza Gerald Hando!

Naomba kuwasilisha, nawewe pendekeza, "Nani ni Nani"

cc: P.
 
Kuna dogo mmoja hivi alikuwa anaitwa Emenuli likwida ni mzuri sana inabidi wamrudishe
Kwa maoni yangu, najua muda sio mrefu Jahazi litang'oa Nanga, napendekeza aongezwe Mtaalamu, Mbobevu, Nguli katika tasnia hiyo na mwenye mbwembwe katika kutumia kipaza, sio mwingine ni miongoni mwa Watangazaji 10 waanzilishi wa Clouds Fm, kama ambavyo amesema MD Joseph Kusaga nampendekeza Gerald Hando!

Naomba kuwasilisha, nawewe pendekeza, "Nani ni Nani"

cc: P.
 
Kwa maoni yangu, najua muda sio mrefu Jahazi litang'oa Nanga, napendekeza aongezwe Mtaalamu, Mbobevu, Nguli katika tasnia hiyo na mwenye mbwembwe katika kutumia kipaza, sio mwingine ni miongoni mwa Watangazaji 10 waanzilishi wa Clouds Fm, kama ambavyo amesema MD Joseph Kusaga nampendekeza Gerald Hando!

Naomba kuwasilisha, nawewe pendekeza, "Nani ni Nani"

cc: P.
Naunga mkono hoja yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom