Maoni: Bingwa wa ligi kuu acheze Shirikisho na bingwa wa Azam Cup acheze Champions League

Nadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP na Timu itakayokuwa Bingwa wa LIGI KUU iwakilishe KOMBE la SHIRIKISHO.

Hii ni Kutokana na TIMU inayoshinda Ligi Kuu kutokufanya Vizuri kwenye CHAMPIONS CUP bali kwenye KOMBE la SHIRIKISHO.

Mfano m uri ni KLABU ya YANGA mwaka jana na Mwaka huu wameshinda LIGI KUU lakini Wamefanya VIBAYA Champions Cup ila Wamefanya Vizuri Kombe la Shirikisho na kudhihirisha pasipo shaka kuwa UWEZO wao ni Kushiriki KOMBE la SHIRIKISHO na SIO Kombe la CHAMPIONS CUP.
View attachment 2610363
Hata hivyo mmekufa kiume
 
Kupitia hizi akili zako, basi Yanga ndiyo timu inayostahili kushiriki mashindano yote.

Maana ndiye aliyekuwa Bingwa wa mashindano yote! Na usisahau msimu huu pia anaekekea kuchukua makombe yote.
 
Nadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP na Timu itakayokuwa Bingwa wa LIGI KUU iwakilishe KOMBE la SHIRIKISHO.

Hii ni Kutokana na TIMU inayoshinda Ligi Kuu kutokufanya Vizuri kwenye CHAMPIONS CUP bali kwenye KOMBE la SHIRIKISHO.

Mfano m uri ni KLABU ya YANGA mwaka jana na Mwaka huu wameshinda LIGI KUU lakini Wamefanya VIBAYA Champions Cup ila Wamefanya Vizuri Kombe la Shirikisho na kudhihirisha pasipo shaka kuwa UWEZO wao ni Kushiriki KOMBE la SHIRIKISHO na SIO Kombe la CHAMPIONS CUP.
View attachment 2610363
Unatoa tu mawazo bila sababu kama mtu anaye weweseka?
 
Aiseeeh nimefadhaika sana huu ni mtazamo wa mtu anaefikiria sawasawa mambo kweli?
Yani ni kigezo gani kimekufanya uje na mtazamo huu..Yanga imefanya vizuri msimu huu kwenye shirikisho sasa utachukuaje mtazamo wa jumla utafikiri ni kawaida kwa Yanga kufanya vizuri shirikisho baada ya kuchukua ubingwa wa ligi.
Tufiche mawazo yetu hasi ili tusionekane mambumbu.
Yanga imefanya Vizuri SHIRIKISHO sio CHAMPIONS CUP kile ni Kikombe cha Wajua mpira
 
Ni jukumu la Yanga yenyewe kujilengesha kombe la Shirikisho, na ni simple tu. Washiriki Klabu Bingwa kama kawaida, wavuke raundi ya awali, halafu raundi ya kwanza wajilegeze ili watolewe kisha wadondokee shirikisho wakajipigie akina Real Bamako
Hapana Jina la YANGA litapelekwa moja kwa moja kucheza SHIRIKISHO ndio SIZE yao
 
Nadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP na Timu itakayokuwa Bingwa wa LIGI KUU iwakilishe KOMBE la SHIRIKISHO.

Hii ni Kutokana na TIMU inayoshinda Ligi Kuu kutokufanya Vizuri kwenye CHAMPIONS CUP bali kwenye KOMBE la SHIRIKISHO.

Mfano m uri ni KLABU ya YANGA mwaka jana na Mwaka huu wameshinda LIGI KUU lakini Wamefanya VIBAYA Champions Cup ila Wamefanya Vizuri Kombe la Shirikisho na kudhihirisha pasipo shaka kuwa UWEZO wao ni Kushiriki KOMBE la SHIRIKISHO na SIO Kombe la CHAMPIONS CUP.
View attachment 2610363
Acha ufala
 
Back
Top Bottom