Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,826
- 156,976
Hata hivyo mmekufa kiumeNadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP na Timu itakayokuwa Bingwa wa LIGI KUU iwakilishe KOMBE la SHIRIKISHO.
Hii ni Kutokana na TIMU inayoshinda Ligi Kuu kutokufanya Vizuri kwenye CHAMPIONS CUP bali kwenye KOMBE la SHIRIKISHO.
Mfano m uri ni KLABU ya YANGA mwaka jana na Mwaka huu wameshinda LIGI KUU lakini Wamefanya VIBAYA Champions Cup ila Wamefanya Vizuri Kombe la Shirikisho na kudhihirisha pasipo shaka kuwa UWEZO wao ni Kushiriki KOMBE la SHIRIKISHO na SIO Kombe la CHAMPIONS CUP.
View attachment 2610363