Maoni binafsi: Idadi ya wanaume imepungua sana, wanawake kuweni macho kabla hamjaingia kwenye ndoa

Wanaume wameisha siku hizi,mwaka jna mwishon kwenye krismas nlikuwa klabu fulan nkaona jamaa kabambia MTU mm nkajua n dem baade nmekuja angalia ni mwnaume anayebambiwa shoga kavaa skin, K-vant ilikata na nkaita usafir kurud home
 
Hili la nyeto sikubaliani na mtoa mada. Shida huwa ni mwanzo tu baada ya muda mambo yanarudi imara tu
 
Hizo takwimu za wanaume wa dar sio Tanzania nzima
Mikoan mambo n Yale Yale uko mwanza mashoga wanakutongoza na mkwanja wanakup, kuna mwana mmoja alikutan n bishoo mmoja HV wakapga story wakabadilishna namba,mida ya baadae jamaa kaitwa hoteli moja,yule bishoo akamwambia amuwekee mkuyenge kwa laki 5,jamaa alishindwa chomoa akamuweka baadae alivyomaliza akatuita wana kuja kutumbua ile pesa bila kujua imetoka WAP. Mikoan wapo mashoga wakutosha huko Arusha ndio usiseme,mbeya na kwenyew yaleyale
 
Duh!!!!
 
Wanawake inabidi wajielewe na wawe makini... siwezi kutumia mwezi mzima eti kukubembeleza unipe mbunye, wakati kuna bottom mmoja huku ni kiasi cha kumpigia simu anatokea na mnafanya yenu kwa raha kamili!

Laima wanawake mjue, bottoms wanatoa utamu na hawaringi mkiendelea kuringa mtapata wanaume wenu ambao hawezi kukeshea show
 
Mbona takwimu zako zinaonesha ni 6 tu out 100, hao 16 umewatoa wapi mkuu au bupiji imekuchanganya?😂
 
Hizo show zinaleta hela ya mboga nyumbani? Mi naomba mungu nipate kibabu chenye hela tu hizo hamu nitazivumilia
 
Pombe inaleta ny.ege vp chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…