EE mungu wa milele.Pumzisha roho ya mpendwa wetu alijitahidi kuinuka baada ya kupigwa bomu lakini baba uliruhusu roho yake itoke kama ulivyoruhusu ya mwanao yesu kristu.Leo Herode wa Tanzania anadai eti hakuwepo anaomba mkanda wa ushahidi anasema hajui chanzo.
Eh Mungu, Muweza wa yote mwenye sifa ya uumbaji na kuabudiwa mpokee na mlaze mahali pema peponi kiumbe chako Judith kilichotolewa uhai wake kwa msaada wa watumishi wa shetani duniani.
mkuu ni aibu wewe kama kiongozi unaongea uongo then unakataza watu kuomboleza then at the same time watu wanajitokezawengi kuaga hii kweli inaonyesha kuwa viongozi hawaaminiki tena na jamii yetu.
EE mungu wa milele.Pumzisha roho ya mpendwa wetu alijitahidi kuinuka baada ya kupigwa bomu lakini baba uliruhusu roho yake itoke kama ulivyoruhusu ya mwanao yesu kristu.Leo Herode wa Tanzania anadai eti hakuwepo anaomba mkanda wa ushahidi anasema hajui chanzo.
Ina sikitisha sana kuona watoto wadogo wameuawa "kinyama' kwaajili ya maslahi binafsi ya CCM na Polisi wake. Wanapanga na kukamilisha "mauaji" na kuudanganya UMMA, lakini wanasahau kuwa yuko mmoja ambaye jicho lake huwa halilali wala halisinzii!!