Habari wakuu,Kesho tarehe 17/01/2014 ntakuwa na maombi maalumu sana na kwa MUNGU aliye juu mbinguni hasa kwa wale tunaotafuta kazi.ukipenda kuungana nami nipatie jina lako hata first name tu or na surname ntaliombea na jioni ntalipeka kanisani kwenye sanduku la maombi liombewe pia.Mungu awabariki.