Maombi yanahitajika...

Na hata uazime ya jirani yako bado mambo ni yale yale!
 
Hapana
Yamenichekesha hayo maneno hapo chini baada ya kujumlisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sema na muhusika kazingua.....hesabu yakumia kichwa yeye anataka mteremko
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sema na muhusika kazingua.....hesabu yakumia kichwa yeye anataka mteremko
Kweli asee
Ila ukizoea kutumia calculator hata hiyo hesabu ni ngumu hapo
 
Kweli asee
Ila ukizoea kutumia calculator hata hiyo hesabu ni ngumu hapo
Kweli kabisa.....kwanza mtu anataka ahakikishe.....ila kwa situation kama hiyo inabidi apige dua kwanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…