Ningeiita hivi.....maombi ya familia yana nguvu
Au kuipa maana zaidi....."familia/ndoa bora hujengwa mume na mke wanapoomba pamoja kwa umoja"
Mkuu, bado naona ilivyo iko sawa! Ni jinsia ya kike na ya kiume, lakini kwa muonekano huo tu haitoshi kuwaita mume na mke!
Mkuu, bado naona ilivyo iko sawa! Ni jinsia ya kike na ya kiume, lakini kwa muonekano huo tu haitoshi kuwaita mume na mke!
Sijasema haiko sawa
Nimetoa tafsiri yangu....nionavyo kwa mtazamo wangu, si wa uhalisia wa picha au mtazamo wa mtu mwingine....
Kwa lugha rahisi, uko sawa kwa mtazamo wako....nami niko saw a kwa mtazamo wangu
Na kwa umoja wetu waaminio kila mmoja yuko sahihi
Yeah, maombi yana nguvu. Kama una jirani wenye kutuma makitu yao ili kuitikiza serekali yako, iimarishe kwa zege la maombi. Siku mili tatu wanakujia na kukuuliza; Dada umemlisha dawa gani jamaa! Kumbe maombi tu
Kikubwa amani ya taifa na ustawi wa wananchi vitamalaki
mshana jr
Amani haiombwi amani hutafutwa kwa bidii. Sio kwa taifa wala kwa jirani. Itafuteni kwa bidii msiombee taifa amani. Himizeni taifa liitafute kwa bidii. Bila amani hakuna usitawi wa wananchi.
Nawashangaa watu wanapokusanyika pale Jangwani ati wanaombea taifa amani. That is not true. Hampati kitu. Tafuteni tu amani