Maombi ya ufadhili

Maombi ya ufadhili

Mrs chaudevu

Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
21
Reaction score
1
:high5:Habari ya leo wana jamii forum,kwa jina naitwa Martha Christian nasoma chuo kikuu Tumaini Makumira Arusha mwaka wa kwanza faculty ya Humanity and social science. natafuta na kuomba sponsorship au ufadhili wa kusoma masters baada ya kumaliza degree yangu mwaka 2015 naomba msaada wa kusomeshwa elimu ya masters. Naomba msaada wenu wa hali ya juu. Ahsanten kwa mawasiliano 0657440107
 
Jamani Mrs chaudevu, uko mwaka wa kwanza unaomba ufadhili wa masomo ya miaka mitatu ijayo? Angalia usije ukaingia mitego. Kuna watu watakuahidi wakijua ni mbali na kukuweka katika majaribu yasiyo stahili.

Ilitakiwa umalize kwanza, concetrate katika masomo na viwango vya ufaulu, mengine hayo unafuatilia baada ya kuhitimu maana ukifaulu vizuri sponsorship ni nyingi tu.
 
Last edited by a moderator:
Ufadhili wa pesa kiasi gani?

Naona Dingswayo baba umehamasika tayari.....
Ni sawa kufikiria kusoma Masters lakini kuomba ufadhili leo hii ukiwa ndio kwanza umeanza hiyo 1st degree ni mtego ndugu yangu Mrs chaudevu Hapo ni kwamba unajijengea mzingira hatarishi (kama si nia yako)
 
Nililiona hilo la kuomba ufadhili hata kabla hajamaliza shahada ya kwanza. Hata haja yangu ni kumjulisha kuwa ukiomba ufadhili ni muhimu kuweka kiwango cha fedha unazohitaji ama sivyo unaweza kufadhiliwa kwa kiwango ambacho hakikidhi mahitaji.
 
Asubiri amalize chuo hiyo 1st degree, halafu aombe hiyo Masters ndio aje hapa na taarifa zilizokamilika - nadhani mfadhili ana uwezo wa kulipa moja kwa moja huko anakoenda kusoma wala si lazima apewe mkononi
 
Hii kali, uko mwaka wa kwanza unataka udhamini wa Masters, labda unatafuta Masta
 
Jamani mm nilimaliza kidato cha nne mwaka 2014 nilipata alama hz Chem C , Bios C, Math C and Physics D nahitaji mfadhili wa kuweza kunisomesha Chuo cha afya yaan Clinical officer or Diploma in Nursing. Npo tu nyumban na chet C hangu naombeni msaada wenu kwa mawasilian 0715380379
 
Back
Top Bottom