Maombi ya polisi

Maombi ya polisi

Joined
Mar 7, 2017
Posts
14
Reaction score
2
Kwa yeyote anaefahamu maombi ya kujiunga na jeshi la polisi yanatoka lini anifahamishe...na utaratibu wake kwa ujumla upoje.....
 
Kwani wanalipwaje na Mimi nijitose kuchangamkia ajira
 
Kama pazuri tusituane wakuu mtaani kugumu huku
 
Nenda makao makuu yake kaulize ndg yangu ndo utalata ukweli zaidi
 
Mpe sifa mtukufu tu, utapata nafasi na kutudhibiti vizuri kwa virungu 2020..
 
mkuu utaratibu wa kujiunga jkt uko vipi yani,proces zote husika,haswa hapa dar...naomba ufafanuzi kdogo
 
Back
Top Bottom