Maombi ya mum hayapitii TCU hivyo usishangae kuona second round kuwa tayarinaomben wa jf unifahamishe,,, iv hichi chuo kikuu cha MUM maombi yake hayapitii TCU? nashangaa kuona second round imetoa ila vyuo vingine ata dalili.
Hakuna chuo ambacho kina sajili wanafunzi bila kupitia TCU AU NACTE hivyo acha kuupotosha umma maombi yote yanapitia TCU NA NACTEMaombi ya mum hayapitii TCU hivyo usishangae kuona second round kuwa tayari
Kuna kama vyuo viwili MUM nafikiri kingine kiko Zenj unaomba moja kwa moja chuoni-wao wanachagua baadae wanawasiliana na TCU kuhakiki kwamba vigezo vimezingatiwa. Hivyo wanaweza kuprocess application zao faster.Hakuna chuo ambacho kina sajili wanafunzi bila kupitia TCU AU NACTE hivyo acha kuupotosha umma maombi yote yanapitia TCU NA NACTE
duuuuuh nahisi kuzimia hapa kwa kusubiri mkuukaka si bora ww unasubir second wenzio wa nacte toka tulivyo apply mwezi wa tatu mpk leo
Hakuna chuo ambacho kina sajili wanafunzi bila kupitia TCU AU NACTE hivyo acha kuupotosha umma maombi yote yanapitia TCU NA NACTE
Presha waliyonipa TCU sitohisahau kamwe
Second round mpk sa hv bado na ikitoka utasikia Your provision selected........

Maombi yana anza chuoni halaf yanapelekwa na chuo TCU kupitishwa. ingekuwa hayapitii TCU wanafunz wasingepew mkopo na boom ya serikali . na TCU wanajua process za mumNaomben wanaJF mnifahamishe,
Hivi hiki chuo kikuu cha MUM maombi yake hayapitii TCU? Nashangaa kuona wametoa second round ila vyuo vingine hata dalili havina.
siku hiz ni science na technology . ukipiga sim unajulikan upo wap na ukitaja index no tu matokeo yako ,jina lako,shule wanajua na huwez kuwadanganya wanathibitisha on line particular unazotaja zinaendana na zinazoonekana kwenye computer system. ukichaguliwa unawapelekea copy original na vyeti ndio wakusajili chuonMUM hata ukipiga simu ukataja particulars zako na koz unayotaka wanakudahiri. Nimeshuhudia mwenyewe mtu alipiga simu na amechaguliwa second round
Hawataki ubabaishaji wale kama tcu mum wako smart washakamilisha selection zaoHakuna chuo ambacho kina sajili wanafunzi bila kupitia TCU AU NACTE hivyo acha kuupotosha umma maombi yote yanapitia TCU NA NACTE
C kweliHakuna chuo ambacho kina sajili wanafunzi bila kupitia TCU AU NACTE hivyo acha kuupotosha umma maombi yote yanapitia TCU NA NACTE
wewe ndo unasema hvo,peleleza vizuri,Hakuna chuo ambacho kina sajili wanafunzi bila kupitia TCU AU NACTE hivyo acha kuupotosha umma maombi yote yanapitia TCU NA NACTE
Nahis itakuwa na chuo Na fakati hapohapoPresha waliyonipa TCU sitohisahau kamwe
Second round mpk sa hv bado na ikitoka utasikia Your provision selected........