Maombi ya Kazi ya Udereva

Maombi ya Kazi ya Udereva

Care Giver

Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
76
Reaction score
219

Wakuu...

Napenda kuwasilisha maombi yangu ya kazi ya udereva katika kampuni, taasisi au Shule. Nina uzoefu wa zaidi ya kumi (10) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, C2, C3 na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja na kufuata sheria zote za usalama barabarani.

Nina nidhamu, uaminifu na uwezo wa kufanya kazi chini ya shinikizo. Niko tayari kwa mahojiano au majaribio wakati wowote utakaoona unafaa.
Napatikana Dar es salaam


Asante kwa kuzingatia ombi langu.

Wako mwaminifu,
 
Asee,nina kishule kinaanza,nilitamani kupata mtu kama wewe japo siyo kwa malipo ya full time,ila ni mkoani sasa
 
Unaweza kwenda Congo kufanya hiyo kazi?
 
Back
Top Bottom