Moha 255
Member
- Apr 29, 2025
- 17
- 17
Habari,
Naitwa Mohamed ni driver wa tax mtandao….nipo darslam natafuta gari ya kufanyia kazi hii, hivyo kwa yeyote mwenye chombo basi ni fursa hii tuitumie kujenga hii nchi…
“Kuhusu uaminifu ni % Hakuna uswahili wala ubabaishaji Hii ni kazi na Naheshimu kazi yangu hivyo tajiri ondoa shaka kwenye hilo nina uzoefu wa kutosha kwenye hii biashara”
Iwe mkataba/Hesabu yote kheri kwangu
Tuwasiliane kwa No. 0711347096